Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha

Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha

Wewe glen eti unamadai kila wanamke humu anashida na hizo mipu'xxxx bu maji yenu milenda aih eti sema dau mara unaniita ngoro wewe ni chapati tu huna lolote yale makongoro ya tunaywea supu tu sio kwachapati
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sas
Unamsifia mtu halafu baadae akipondwa unaponda sio vizuri
Me sijamponda ila nimewaza kutokana na alichocomment witnessj ndio maana nikasema hivyo kiufupi nimeandika kulingana na mawazo aliyonayo witnessj ukisoma vizuri utanielewa
 
Vipi mahusiano yako na baba yake yanaendeleaje?
 
Kiveeepe katoto kabayaa?
Hujui wewe ulivyo mtakavitu na mchukua vitu au unataka nielezee kiundani mimi nakujua sana kiundani hadi picha ninazo ila sina roho mbaya kama yako ya kukusema vibaya kwa sababu sijakuzwa kihivyoo.
 
Vipi mahusiano yako na baba yake yanaendeleaje?
Kwanini tupo tu naishi kwa raha kwa sababu nimebarikiwa kupata mzee wangu handsome kanipa watoto wanne wazuri sana .
Wakiume watatu mdada mmoja ila wote mapacha hivi wakaka watatu wamezaliwa first borns na last born ni wakike.
 
Kama upo na baba Hilo ni jambo nzuri maana tunahofia isije ikawa amekuachia usingle mother alafu yeye kakimbia majukumu
 
Kwanini tupo tu naishi kwa raha kwa sababu nimebarikiwa kupata mzee wangu handsome kanipa watoto wanne wazuri sana .
Wakiume watatu mdada mmoja ila wote mapacha hivi wakaka watatu wamezaliwa first borns na last born ni wakike.
Siku mkiachana naomba niitumikie hiyo nafasi yake natangaza nia
 
Back
Top Bottom