Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha

Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha

Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha nawashirikisha kwa sababu mlinibezaga sana .
Eti katoto kazuri hakunaga kuitwaga mamy .
Nimeitwa mamy
Katoto kangu mwaya 😊😊😍😘
Kakue chimamy wangu mwaya.
Ngoja nitafute pesa 18 years to come niwe fataki
 
Mimi sio single maza hata kidogo nausiniwekee nuksi tafadhali .
Wewe ndio single father na utakuwa hivyo milele na milele hata uchinje kuku kivipi
Basi mamilo usichukulie serious Mungu mwema atakuongoza na kukuepusha na hilo.
 
Humu jf kama kuna mtu kanigusa tu au kanipuliza kama puto aje
Dada wapo Wanaume wazuri tu sema wewe ujabahatika kuwa nao sio kila mwanaume ni mbaya Hilo litoe kwenye fikra zako itakusaidia Sana sometime mwanaume akawa mzuri au mbaya mwenye malengo na wewe au kukutumia tu kulingana na wewe ulivyo
 
Wewe nimnafiki hadi Mungu akikuangalia anachoka walahi
 
Eh situmeoana kabisa ni ndoa ya kanisani juzi ndio tulifanya aniversary ya vimiaka kadhaa vya ndoa he so lovely, kind ,special but shida ipo kwa wanawake anapenda sana huyo mtu.

All in All sio unapata kila kitu kwa mwanaume ukijaliwa na kupendwa basi.
Tangu nimeanza kusoma michango yako, huu ndio umejaa hekima hasa huo mstari wa mwisho.
 
Back
Top Bottom