atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Huyu katoto kazuri na Unique Flower inaonekana yupo na stress sana,jitahidi kumliwaza asije kupata depressionLiuzi la uwongo hili kama kawaida ake[emoji14][emoji14][emoji38][emoji1787][emoji1787]
Ukisikia kujipendekeza ndio huko lione lichawi tu huna sera kafie mbali wewe zania katoto kazuri ni mimi utafia hukk na stressHuyu katoto kazuri na Unique Flower inaonekana yupo na stress sana,jitahidi kumliwaza asije kupata depression
Naweww unapata faida gani kuhangaika na mwanamke au huyu unayemtetea ndio kitu yako tuambie tujue maana umewaka huyu mtakavitu wako inaelekea unampa kweli vitu hakuna mwanaume anatetea chizi kama huyo bure bureUnique Flower na katoto kazuri unapata faida gani kuwa id mbilimbili?
Sihangaikagi na watu walioshindwa maisha yao .Mkuu umeshindwa kutambua kuwa huyu ni mmoja mwenye hizi id mbili?,hata mwandiko tuu unaonyesha
Lione hili nipanic kwa wewe kichaa kila mtu anakujua humu ndani[emoji16][emoji16][emoji849][emoji849][emoji2957][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hadi raha umepanic wewe chizi
Viswali vya kinoni hinoHongera kwa kukuza kabinti but I hope your husband is taking good care of your daughter too.
Unataka nilete nyuzi za uchizi wa milembe kama zako[emoji848][emoji848]Wewe unaye au upo tu unakodoa post zawatu
HahahahahahahUnique Flower na katoto kazuri unapata faida gani kuwa id mbilimbili?
Nawewe unashangilia ujinga tu mwenyewe juzi ulikuwa unasemwa tu kwenye nyuzi za watu kuwa wewe ni kanafiki hakana hela sishangai akili hiyo hiyoViswali vya kinoni hino
Halafu wewe muuza ice cream uliyenunuliwa simu na msamaria mwema nimetulia zangu muda tu usidhani nakuogopa shenzi tu kazi kuingilia visivyokuhusu.Unique Flower na katoto kazuri unapata faida gani kuwa id mbilimbili?
Hapa umeandika vizuri ingawa siungi mkono ugomvi wenuHalafu wewe muuza ice cream uliyenunuliwa simu na msamaria mwema nimetulia zangu muda tu usidhani nakuogopa shenzi tu kazi kuingilia visivyokuhusu.
Sikujui ni mtu anaid yake mnamwonea wivu kama nini kinawauma kwani nawewe siutoe post shida yako nini unawashwa na post zangu kama nalipwa nahuku muda niwangu na data ni yangu hujawahi nipa hata data unayo hiyo hela ya bundle
Hahahah kumbe mna muda kabisa wa kukaa na kunijadili πππ kweli nyota yangu inang'ara sana hakika...We tuliza kipele jike hiko ni ushauri tu, huna jipya!!!Nawewe unashangilia ujinga tu mwenyewe juzi ulikuwa unasemwa tu kwenye nyuzi za watu kuwa wewe ni kanafiki hakana hela sishangai akili hiyo hiyo
Kweli stress mbaya sana asee!Wewe witnessj mie sio nilikuomba utupe lulu kwa nguruwe umenielewa .
Wewe unajinadi unabwana tajiri na huku ni mume wa mtu umezaa naye mtoto .
Mie sijakuomba uchukuliwe na rafiki yako kipenzi mume akaolewa yeye wewe ukakatiwa hela ya matumizi .
Mie sio nilikustopisha starehe zako ni hao uliowaamini so unikome saivi unalewa lewa tu ukikumbuka lulu ulizowapa nguruwe wachezee .
So niache namaisha yangu wewe ndio lichizi kwa maana mlianza wote maisha akapata ukaanza maringo kisa ulikuwa unalipa saivi ulipi sana watu hawana hela na alipokutadharisha anaoa ulikuwa unaona utani saivi unaniona unaleta maneno maneno nimejaribu kuwa mwelewa ila unanichokonoa saivi fanya unavyotaka sikujibu nasoma comment kama wengine bibie saivi upo na huyo sijui kamarioo mnazunguka town tu mnakuja mnalala .
Fanya yako watu humu wanakupenda kisa usemi hapana wewe ni YES madam
Eh umeona kama wewe unastress humu nikutetea wahalifu wenzakoKweli stress mbaya sana asee!
Nani akujadili sasa hakuna unasura yakujadiliwa sasa hunaHahahah kumbe mna muda kabisa wa kukaa na kunijadili πππ kweli nyota yangu inang'ara sana hakika...We tuliza kipele jike hiko ni ushauri tu, huna jipya!!!
Hio mibange unayovuta ni stimu za kulanduka, kama sio fani yako kwa kwelii utaumbukaπππNani akujadili sasa hakuna unasura yakujadiliwa sasa huna
Kama baba yake alivyokuzini wewe basi nayeye lazima mtoto wake aziniwe.. " utafanywa ulivyofanya"Aisee yapi hayoo hatunaga madeni sisi