MPARE KIBOGOYO
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 405
- 279
Tuwekee basi jamni wengine matumbo joto naivo naskia wengne majna amna ndo kabisaaaa
Natamani ninywe pilton kadhaa nilala mpaka hiyo time ndipo niamke na kuyakuta.
mkuu! ivi umelala kweli loh!
Wabongo ni hatari hi sa 3 inaweza ikawa siku 10.ukanjanja mwingi.
Heeehee! Miye wa hapahapa! Haendi mtu sitimbi!!
Teh teh teh teh umenichekesha kwa kweli dahmpaka vidole vimekufa ganzi tokea jana na bofya tu batani za simu