Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

Status
Not open for further replies.
Wabongo ni hatari hi sa 3 inaweza ikawa siku 10.ukanjanja mwingi.

Wanatudharau sana. Ila tusife moyo. By the time when things come to be good we shall enjoy our job. So please teachers let them take us or undernarate us to this extent of giving us unfulfiled Anouncements, but i am sure our strugle will not end up in pain.
 
Kulikuwa hakuna umuhimu wa kuanzisha thread,changia thread za hapo juu!
 
Zinavyosubiliwa izo ajira kama ujio wa masiha usiku na mchana tunakesha kama cnn
 
mbona mapema sana mi nataka tubadilisha na anaekuja pwani wapo uko tena kibaha
 
mpaka vidole vimekufa ganzi tokea jana na bofya tu batani za simu
 
Heeehee! Miye wa hapahapa! Haendi mtu sitimbi!!

Wewe endelea kujitapa,nakumbuka watu last year walitendwa badala kupangwa Ilala wakajikuta Mtimbwilimbwi. Unajua nini kilitokea..........?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom