Kulikuwa hakuna umuhimu wa kuanzisha thread,changia thread za hapo juu!
Haaa Biharamulo ndo wapi huko? Si naskiaga mji wa uganda huo! Loh!
kama mtu anasup asitegemee kupata ajira kwa wale wa degree.hapa ndo huwa nasema nina doubt juu ya uelewa wa watu wanaosomea ualimu,we umeambiwa ajira tr 15,na inakoma saa sita,saa mnacholalamika nini
Siwezi kueka coz sio official ni pm nikutumie kwenye email yako
Nimekubali tz wako juu IT. Tulifungua jana ikatuletea majina licha yalikuwa sii yote. Halafu baadaye tuliingiza tena Codes ikatuonesha majina yameongezeka. Ukijaribu kufanya Coppying inaleta red shield. Leo tumeamka tumeingiza the same codes imebuma. Tuliingilia database kwa kutumia different codes ikafunguka lakini ikaonesha kuna watu walishindwa kubadilisha codes kutoka programming language na kufanya database yao kucancell linking codes. Itachukuwa masaa kwa wataalamu kubadilisha hzo codes na kuremove privacy ili ukifanya coppying ikubali. Therefore watu tuwe na subra. Jana yangekubali ningewawekea mtandaon lakini ilikataa coppying.
Heeehee! Miye wa hapahapa! Haendi mtu sitimbi!!
hapa ndo huwa nasema nina doubt juu ya uelewa wa watu wanaosomea ualimu,we umeambiwa ajira tr 15,na inakoma saa sita,saa mnacholalamika nini
hapa ndo huwa nasema nina doubt juu ya uelewa wa watu wanaosomea ualimu,we umeambiwa ajira tr 15,na inakoma saa sita,saa mnacholalamika nini
Tulieni walimu mbona ajira mmeshapata
Mzee wa Kimanzichana nakupm email yangu unitumie basiMajina mbona tunayo mapema tu, ila kuna baadhi ya vyuo watu watalia hakuna majina yao kabisa, majanga
Siwezi kueka coz sio official ni pm nikutumie kwenye email yako
Mbona kimya? Nimekupm email.saa nyingi.ndo nasubiria apa