Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

Status
Not open for further replies.
hapa ndo huwa nasema nina doubt juu ya uelewa wa watu wanaosomea ualimu,we umeambiwa ajira tr 15,na inakoma saa sita,saa mnacholalamika nini
 
hapa ndo huwa nasema nina doubt juu ya uelewa wa watu wanaosomea ualimu,we umeambiwa ajira tr 15,na inakoma saa sita,saa mnacholalamika nini
kama mtu anasup asitegemee kupata ajira kwa wale wa degree.
 
Nimekubali tz wako juu IT. Tulifungua jana ikatuletea majina licha yalikuwa sii yote. Halafu baadaye tuliingiza tena Codes ikatuonesha majina yameongezeka. Ukijaribu kufanya Coppying inaleta red shield. Leo tumeamka tumeingiza the same codes imebuma. Tuliingilia database kwa kutumia different codes ikafunguka lakini ikaonesha kuna watu walishindwa kubadilisha codes kutoka programming language na kufanya database yao kucancell linking codes. Itachukuwa masaa kwa wataalamu kubadilisha hzo codes na kuremove privacy ili ukifanya coppying ikubali. Therefore watu tuwe na subra. Jana yangekubali ningewawekea mtandaon lakini ilikataa coppying.

ungesnapshoot screen mkuu,anyway pamoja
 
Heeehee! Miye wa hapahapa! Haendi mtu sitimbi!!

Dear Madam. Munkari

Popote ulipo kaa ukijua nakutafuta sana...

Nimekuchek kwa PM lakini naona siku hizi umeweka kufuli kule...nikajua nikija hapa Ofisini ya Walimu,ntakukuta...!

Cheers..!
 
Last edited by a moderator:
hapa ndo huwa nasema nina doubt juu ya uelewa wa watu wanaosomea ualimu,we umeambiwa ajira tr 15,na inakoma saa sita,saa mnacholalamika nini

what nonsense are you uttering my dear? Doubting for what? We all know and und understand the appropriate time of the release that to be exactly at the point of a new day. Its what we are made to believe. And its not a major issue for you doubt. Worse enough you are not a teacher. Why can't you leave my dearest teachers to do theirs and you do yours? Stop insulting your elders. To hell with you.
 
hapa ndo huwa nasema nina doubt juu ya uelewa wa watu wanaosomea ualimu,we umeambiwa ajira tr 15,na inakoma saa sita,saa mnacholalamika nini

kumbuka pia tar 15 ilianza saa 6
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom