Jamani Kibamia kitamu Asikwambie Mtu

Jamani Kibamia kitamu Asikwambie Mtu

Mimi nafikiri kila kitu bila kujali udogo na ukubwa wa mashine unaanzia kwenye Ubongo wako. Unatafisiri vipi kile kitu unachokiona kwa macho yako, je unafikiri hiyo mashine inakutosha. Wanaopenda kubwa bila shaka ni maumbile yao waliojaliwa na Mwenyezi Mungu na wameweka fikira kwenye Ubongo wao kibamia ni usumbufu mkubwa na hawezi kabisa kuruhusu hisia kwa kibamia yeye anaruhusu hisia zake kwa mabomba ya gesi ya mtwara. Kwa wale waliojaliwa na Mwenyezi Mungu mashine ndogo vibamia ndio mpango mzima na mabomba ya gesi kwao ni mateso. Ninachotaka kusema hapa ni vizuri kutafuta saizi yako kama una Mto Ruvu tafuta mashine ya ukweli ili uridhike, na kama una mfereji tu tafuta kibamia maana raha ya tendo ni kufurahia. Na niwashauri wa dada muwe wajanja wa kutengeneza mazingira ya kupima upepo kwanza kabla hamjapanga kwenda kudo, kumbuka kama mmeingia chumbani kutakuwa hamna muda wa kupima upepo hapo ni kazi tu. Nimalizie kwa kusema aliyekupa mashine kubwa ndiye aliyempa yule mashine ndogo, ila Mungu amesema tutumie maarifa ili nafsi zetu zilidhike nawashauri mtumie maarifa.
 
Habari zenu wapendwa,
Hapa nilipo niko nje ya bongo safari flani hv ya kizushi, na safari hiyo niko huku tangu mei mosi, saa bana ile ninefika tuu hotelini si mnajua mambo yetu yale, daaah nikanasa tundu bovu. Sass ile kufika ground play looh!!! Kila mtu kavaa jezi za game heee kumbe mwenzangu yeye mkulima wa bamia bana daah!! Nikataka kitoka nje ya ground play na kujisemea bora kukutana na mkulima wa mihogo kuliko bamia. Ila nataka kunyanyu mguu nitoke ulingoni si akanikamata bega, akaniwekea ulingoni bamia ya chukuchuku akachanganya na nyanya chungu, japo nyanya chungu ni chungu ila ziliongeza utamu kwenye bamia. Sasa basi sijakaa sawa akaniwwkea bamia la rosti lililochanganywa na bilinganya viazi ulaya pilipili hoho vitunguu maji na saumu karoti daaah wakati nakula poshi hilo la tatu nikamuuliza umeoa? Upishi huu wa bamia umeutoa wapi? Alinijibu kwa poshi la nne ambapo aliweka kunde bamia la kukatakata slices akachanganya na maharage mabichi na akaunga na karanga nilipomaliza kula pishi la nne sikuongea zaidi ya kulala kwa kuvimbiwa.
Jamani nawaasa msipendw kuhukumu kitu kwa kukiangalia kwa nje tuu angalia utendaji maana mie hapa tangu mei mosi nakula bamia kila siku na wala halinikinai. Play ground swadakta!!!!
Fahamu kuwa kilichokupa utamu hapo si ukibamia, bali ufundi wa mwenye kibamia... Hii maana yake hivi, hata mwenye dushelele hogo la jagombe, kama si fundi, hamna kitu
 
Kama hii.....????
 

Attachments

  • 1399803213918.jpg
    1399803213918.jpg
    42 KB · Views: 195
Back
Top Bottom