Jamani kosa langu lipi hapa

huwezi jua...inawezekana jamaa akawa sio ridhiki..
 

Hayo maisha ni ya zamani sana. Kwenda nyumani kwa mwanaume mwenzio kula. Nchi imepata uhuru, maana Kila mtu ajitafutie cha kwake.
 
mpe mali huyo jamaa urafiki utaisha mara moja
kwasababu mume mwenyewe anaonekana mume ndoige
 
Ngoja akikutongoza ndo mumeo atajua kwamba huyo jamaa ni wale mbwa wembamba wenye maksikio marefu.wataalam wa mbwa watataja jina.
 
Nina
Nina wasiwasi huyo kaka tumesha mpoteza kwa mumeo .....siyo bure eb jaribu kumchunguza .....utanishukuru badaye
 
Yani huyo mim ningemsubili akija tena ningemtoa nduki eeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…