Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,446
- 14,880
Kama umetumia busara kumueleza mumeo na hataki kukuelewa basi njia fupi ya kumaliza tatizo ni kumsifia huyo jamaa ukikaa mumeo.
Msifie sura yake nzuri, sauti yake unaipenda, anamvuto sana hakuna mwanamke mwenye jeuri ya kumkataa, yaani msifie kwelikweli mpaka mumeo ajione yeye sie lolote.