Jamani kosa langu lipi hapa

Jamani kosa langu lipi hapa

Fanya uchunguzi vizuri kati yao.. huenda wanakulana hao
 
Mume wako ni mwanaume mpumbavu.
Ningeandika mengi, ila basi tu kwasababu nipo bwiiiii...🍺🍻
 
Ebu anza kumchunguza vizuri huyo mumeo...😎
 
Sijui kosa langu lipi hapa iko hivi,

Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban
Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia
Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan
Kama wiki hivi, nimemleta mtoto wa dada angu anisaidie majukum ana 17yrs
Sasa huyu kijana alivyoona kuna mtu nyumban akawa anakuja nyumban saa 12 anakaa mpaka tunamkuta usiku,
Mimi nilichofanya nimemwambia asiwe anakuja kukiwa nawatoto peke yao maana yupo bint huyu na mtoto wangu wa 7yrs, awe anasubir mimi nirudi au awasiliane na rafiki yake waje nae sababu hapa kuna mtoto wakike dunia haieleweki hii
Kachukia kanishataki kwa jamaa, mume wangu kanuna et ninaroho mbaya sitaki huyu kaka aje kula
Wakati mimi nimemwambia awasiliane na rafiki yake ambae ni mme wangu waje pamoja maana wanafanya kazi pamoja et nimekosea?
Hilo ndilo kosa la wamama wa mjini! Mnapenda kujitwalia Madaraka
 
Ulipaswa umshirikishe kwanza mumeo Kisha huyohuyo rafiki yake ndo wangeelezana makubaliano yenu.. by the way mnawezaje kulea kitu kama hicho..?
Hawa Wanawake wa siku hizi ni pasua kichwa. Wanapenda kujitwalia Madaraka. Mwenye mamlaka ya kuwasiliana na huyo Kijana ni mume wake.
 
Huyo mwamba hana vitabia vingine vya kike maana isijeikawa ni bwabwa wewe umeng'ang'ana ni rafiki wa mume wako kumbe ni mke mwenzio
 
Mmeo Ana matatizo huyo unaanzaje kulea ujinga kiasi hicho,awamu hii mtimue kabisa hajitambui huyo km mvivu kupika si aoe jli naye apikiwe
 
Daah! Chunguza vizuri hapo binti yako ataliwa ahsubuh kweupe maana sisi vijana wa kula kimasihara tunatafuta kisa cha kuhadisia
 
Sijui kosa langu lipi hapa iko hivi,

Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban
Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia
Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan
Kama wiki hivi, nimemleta mtoto wa dada angu anisaidie majukum ana 17yrs
Sasa huyu kijana alivyoona kuna mtu nyumban akawa anakuja nyumban saa 12 anakaa mpaka tunamkuta usiku,
Mimi nilichofanya nimemwambia asiwe anakuja kukiwa nawatoto peke yao maana yupo bint huyu na mtoto wangu wa 7yrs, awe anasubir mimi nirudi au awasiliane na rafiki yake waje nae sababu hapa kuna mtoto wakike dunia haieleweki hii
Kachukia kanishataki kwa jamaa, mume wangu kanuna et ninaroho mbaya sitaki huyu kaka aje kula
Wakati mimi nimemwambia awasiliane na rafiki yake ambae ni mme wangu waje pamoja maana wanafanya kazi pamoja et nimekosea?
Mumeo bwege sana angalia ukaribu wao isije ikawa lahaula
 
Haujakosea huyo kama ni mvivu kupika ale Kwa mama ntillie mbona wapo Kwa ajili ya kazi hiyo Sasa anawah nyumban saa 12 ni kwake hapo, bora uonekane na roho mbaya muepushe huyo binti ataliwa Muda si mrefu, kwani kufanya wote kazi ndio kigezo cha kuja kula kwangu si Kila mtu anamshahara hata kama ni mfanyakazi wenu si mnamlipa akale kwake
 
Sijui kosa langu lipi hapa iko hivi,

Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban
Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia
Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan
Kama wiki hivi, nimemleta mtoto wa dada angu anisaidie majukum ana 17yrs
Sasa huyu kijana alivyoona kuna mtu nyumban akawa anakuja nyumban saa 12 anakaa mpaka tunamkuta usiku,
Mimi nilichofanya nimemwambia asiwe anakuja kukiwa nawatoto peke yao maana yupo bint huyu na mtoto wangu wa 7yrs, awe anasubir mimi nirudi au awasiliane na rafiki yake waje nae sababu hapa kuna mtoto wakike dunia haieleweki hii
Kachukia kanishataki kwa jamaa, mume wangu kanuna et ninaroho mbaya sitaki huyu kaka aje kula
Wakati mimi nimemwambia awasiliane na rafiki yake ambae ni mme wangu waje pamoja maana wanafanya kazi pamoja et nimekosea?
Katika hili mumeo akili hana. Halafu kwann hukumuambia mumeo ndo amueleze? Na wewe katika hili akili huna.
 
Kiukweli angekataa sababu jamaa akisafir hua anakuja kunisubir dukan twende wote nyumban nikapike ale then aondoke, nikamwambia jamaa amwambie kua sio tabia nzuri mimi sio mke wake ni bora awe anakuja jamaa akiwepo ...alikuja juu safar hii nikajilipua
Mme wako ana matatizo makubwa sana. Yani imenishangaza
 
nimemleta mtoto wa dada angu anisaidie majukum ana 17yrs
Sasa huyu kijana alivyoona kuna mtu nyumban akawa anakuja nyumban saa 12 anakaa mpaka tunamkuta usiku,
 
Sijui kosa langu lipi hapa iko hivi,

Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban
Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia
Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan
Kama wiki hivi, nimemleta mtoto wa dada angu anisaidie majukum ana 17yrs
Sasa huyu kijana alivyoona kuna mtu nyumban akawa anakuja nyumban saa 12 anakaa mpaka tunamkuta usiku,
Mimi nilichofanya nimemwambia asiwe anakuja kukiwa nawatoto peke yao maana yupo bint huyu na mtoto wangu wa 7yrs, awe anasubir mimi nirudi au awasiliane na rafiki yake waje nae sababu hapa kuna mtoto wakike dunia haieleweki hii
Kachukia kanishataki kwa jamaa, mume wangu kanuna et ninaroho mbaya sitaki huyu kaka aje kula
Wakati mimi nimemwambia awasiliane na rafiki yake ambae ni mme wangu waje pamoja maana wanafanya kazi pamoja et nimekosea?
Tangu nikiwa kijana mdogo Kuna baadhi ya watu walikuwa wanakuja kula nyumbani mpakaa Sasa wamekuwa Kama ndgu na msaada kwetu kilichpo kwako Ni uchoyo kupitia kauli yako eti hachangii hata mia ushauri Dunia tunapita acha roho mbya chakula si kitu Saana kingine Acha wivu wa kijinga Kwani huyo binti asipotoka na huyo kijana hatakuja kuguswa na wengine ...?? Jaribu kuongea na bint yako na siyo nuia uliyotumia lioneeeee[emoji16]

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Uko sawa kwa asilimia Mia,ukiendekeza huo ungese utashangaa kampa mimba binti,Kama mama tuna kila sababu za kuwalinda watoto wetu,hutu tu vijana si vya kutuniamini hutu.
 
Sijui kosa langu lipi hapa iko hivi,

Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban
Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia
Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan
Kama wiki hivi, nimemleta mtoto wa dada angu anisaidie majukum ana 17yrs
Sasa huyu kijana alivyoona kuna mtu nyumban akawa anakuja nyumban saa 12 anakaa mpaka tunamkuta usiku,
Mimi nilichofanya nimemwambia asiwe anakuja kukiwa nawatoto peke yao maana yupo bint huyu na mtoto wangu wa 7yrs, awe anasubir mimi nirudi au awasiliane na rafiki yake waje nae sababu hapa kuna mtoto wakike dunia haieleweki hii
Kachukia kanishataki kwa jamaa, mume wangu kanuna et ninaroho mbaya sitaki huyu kaka aje kula
Wakati mimi nimemwambia awasiliane na rafiki yake ambae ni mme wangu waje pamoja maana wanafanya kazi pamoja et nimekosea?
Hata kama ni mini hapo ningekasirika
 
Mumeo nae fala nini, yeye ni mwanaume gani asiejua akili zetu wanaume, hicho ulichoamua ni sahihi kabisa, hakuna kuja mapema mapema, una binti wa miaka 17.

Ndio maana kwenye mafundisho imekemewa mtu kukaa na mtu ambae si halali yake(ambae anaweza kumuoa)
Kwa hiyo na wewe unamtetea.
Hutaki bint apaliliwe?
Hapa ni kama huyu mama hana imani na wote 2 kwa huyu bint yaani kuna ka chembechembe ka wivu hivi[emoji28][emoji28]
 
Tangu nikiwa kijana mdogo Kuna baadhi ya watu walikuwa wanakuja kula nyumbani mpakaa Sasa wamekuwa Kama ndgu na msaada kwetu kilichpo kwako Ni uchoyo kupitia kauli yako eti hachangii hata mia ushauri Dunia tunapita acha roho mbya chakula si kitu Saana kingine Acha wivu wa kijinga Kwani huyo binti asipotoka na huyo kijana hatakuja kuguswa na wengine ...?? Jaribu kuongea na bint yako na siyo nuia uliyotumia lioneeeee[emoji16]

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
We nae unaongea Kama umekatwa kichwa,hao wageni wenu mliowalisha mwaka 1966 Unataka kuleta habari hizo 2022 ?kwanza kwa nini ule kwa mtu mwaka mzima?mtu Ni kijana na unafanya kazi,huo Ni ushenzi na ukosefu wa aibu,Maisha ya Sasa Ni magumu,Kuna bills nyingi za kulipa kwa nini akawe mzigo kwa familia ya mwenzie,Tena ana bahati huyu dada mstaarabu yaani Mimi ndani ya mwezi ningemwita nimpe tu makavu mbele ya huyo rafiki yake wasingeamini.....Unaongelea binti hata asipoguswa na huyo kijana ataguswa na wengine,hiyo Ni sawa lakini Kuna haja gani kuweka zizi moja mwanakondoo na mbwamwitu?Dada kachukua maamuzi sahihii kabisa........na hii comment yako inawezekana wewe ndio huyo kijana
 
Back
Top Bottom