Jamani kueni makini na hawa vijana wa forex

Jamani kueni makini na hawa vijana wa forex

kama unafanya forex fanya wewe mwenyewe. siyo ya kumkabizi mtu. tena hawa vijana ndio kabisa usije kujaribu wanataka kutoboa haraka wanajikuta wanafeli kwa udanganyifu.
 
 
Hakuna watu wanauzoefu na FOREX nchi hii kama wanaJF.
Watu wenye hekima, wenye kazi na wasio na kazi, wenye vitambi na wasio navyo waliingizwa mkuku mkuku pale Jangid Plaza wakiwa na matumaini makubwa ya kumiliki magari makubwa na nyumba ndefu hasa wakikumbuka uzi unaosema "ijue forex: hakuna benki itataka ujue"

Hakika wanaJF hawatasahau.
😅😅😅Hakuna bank ...😅
 
Back
Top Bottom