Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Sote humu JF tunajua Ontario alitapeli watu kupitia Forex, hivi mpaka leo kuna watu bado wanamwamini na kumfuata kumpa pesa zao?
Kweli dunia imejaa wajinga wengi sana.
Mtu akileta kingereza kingi na kuvaa suti kama marehemu ogopa sana ....Yule janja sana huwezi kumuelewa ukikaa nae anaweza kukuambia ana dili la million 500 ila anataka laki yako ,shtuka!mbona huyu kijana Ontario anaonekana mtu muungwana siku namuona sana Twitter
Mwambie aweke record hizo demo hazina emotion ,hapo juu hamna withdrawal status uone hata negative.uko tayar kuweka trading history yako ya 3 months apa ama tukukaushie
π€£π€£π€£ chap chap haina kurembaBora ucheze zako AVIATOR.. unajiona kabisa Ndege imekula mzinga Rubani kasepa
Dili la million 500 ila anataka laki yako?Mtu akileta kingereza kingi na kuvaa suti kama marehemu ogopa sana ....Yule janja sana huwezi kumuelewa ukikaa nae anaweza kukuambia ana dili la million 500 ila anataka laki yako ,shtuka!
Hapo ndio utajua vijana njaa sana π€£π€£Dili la million 500 ila anataka laki yako?
ππππππ
π π π Hakuna bank ...πHakuna watu wanauzoefu na FOREX nchi hii kama wanaJF.
Watu wenye hekima, wenye kazi na wasio na kazi, wenye vitambi na wasio navyo waliingizwa mkuku mkuku pale Jangid Plaza wakiwa na matumaini makubwa ya kumiliki magari makubwa na nyumba ndefu hasa wakikumbuka uzi unaosema "ijue forex: hakuna benki itataka ujue"
Hakika wanaJF hawatasahau.