Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Duuh!!Kinaitwa مجموعة ساعة والخبر ''Majmuu'at saat walkhabar''' kimatumbi "Makusanyo ya saa na taarifa"
Chenyewe kinazigawa nyakati za siku kwa mujibu wa mienendo ya nyota, jua, sayari na mwezi.
Kinatabiri yatakayojiri kwa mtu kwa kuzingatia jina lake na la mama yake mzazi, in correlation to events time, day, date and month.... na kutoa results.
Kwa ufupi ni Ushirikina uliotukuka...
Weka mbali na jamii.