Sijui kama haya mambo yana mila mi sijuhi mila hata moja kwenye hili ila nazungumzia logic tu. Mama yako kama ana shida inabidi akuombe wewe hata kama huna kazi; kumuomba mumeo si njema sana maana kuna kumfanya atoe kwa sababu ya aibu ya ukwe; same kwa upande wa pili. Mimi mama mkwe akiniomba pesa kwa kweli kwangu inakuwa ni challenge na lazima nitampa tu ili asinichukie; lakini mama yangu ntampa kwa kuwa ninazo niko free kumwambia uwezo wangu.
Kweli kabisa mtu kakuzalia utamu wako unamjibu kihivi! wanawake wengine wameumbwa bila haya, hata kama huyu binti ni mchoyo BAK, angetafuta mbinu ya kumwambia mumewe apunguze misaada kidogo,ili wafanye mambo yao,kwa kweli as long mambo yangu yanaenda vizuri, wanangu wanasoma shule nzuri, na home pako fresh, watoto account zao zinaingiziwa pesa, acha tu asaidie, na kama ulivyosema, mwanaume mwingine anakutoa tu meno ya mbele ukimtukania mama yakeKabisa Lizzy!, huyu dada hana adabu kabisa hata kama hana uhusiano mzuri na mama mkwe lakini majibu yake kwa kweli waume wengi hawawezi kuyakubali maana yanaweza kuzua varangati la kufa mtu ndani ya nyumba na huyo mke kujutia majibu yake yaliyojaa ufedhuli wa hali ya juu. Yaani hamsini elfu ndio isimamishe ujenzi wa nyumba!!!! Duh! Kazi kweli kweli!!!
Kweli kabisa mkuu, watu tunasahau tulikotoka sana aiseeAcha hizo ww masikini akipata bana!!!
50 elfu unaona cio ishu acha utoto.
.........Aksante shem, leo siujutii muda wangu humu JF MMU imenikuza....sasa ninaelewa mwe. Ndoa kumbe ni pana namna hii?! Masikini sasa hiyo ishu hapo ingekuwa vema kama watu mnaelezana miiko na vijiko vya makabila yenu kabla ili mmoja asijefanya kinyume akidhania yuko sawa tu.MJ1 kama ujuavyo mila zetu katika makabila yetu nchini zinatofautiana sana. Kwa wengi hili la mama kwenda kumuomba msaada binti yake moja kwa moja halina tatizo kabisa lakini kwa wengine haliruhusiwi kabisa. Juzi nilikuwa nazungumza na marafiki zangu sasa katika mazungumzo tukawa tunaongelea mke kwenda kutembea kwao na kufikia kwa Wazazi wake katika mazungumzo hayo nikagundua katika baadhi ya makabila hili haliruhusiwi kabisa na linaweza kuzua mtafaruku mkubwa wa kulipishana faini na kutoa sababu kulikoni hadi binti akafikia kwa wazazi wake badala ya kwa upande wa mumewe. Kwa hiyo inategemea sana na mila za wahusika.
Sijuhi kama haya mambo yana mila mi sijuhi mila hata moja kwenye hili ila nazungumzia logic tu. Mama yako kama ana shida inabidi akuombe wewe hata kama huna kazi; kumuomba mumeo si njema sana maana kuna kumfanya atoe kwa sababu ya aibu ya ukwe; same kwa upande wa pili. Mimi mama mkwe akiniomba pesa kwa kweli kwangu inakuwa ni challenge na lazima nitampa tu ili asinichukie; lakini mama yangu ntampa kwa kuwa ninazo niko free kumwambia uwezo wangu.
p diddy pitasamahani,mimi ni she[/QUOTE
NAPITA TU
Duh hii ni zaidi ya roho mbaya, pole mdada ndio hivo mliobaki mtafute kazi za maana au biashara mumtunze mama, kaka yenu ndio keshapotelea tayari, wallah wifi kama huyu mnavizia kaka hayupo mnamchapa fimbo za kutosha then undugu ndio unakuwa umeisha na kaka yenuKweli kabisa mkuu, watu tunasahau tulikotoka sana aisee
ninakaka yangu wa pekee ktk familia ya watu 5.ameoa mwanamke wa kioldmoshi.jamani dada huyo hafai.kwa uchoyo,mdomo na ubinafsi.kuna siku kaka yangu alitoa elfu 50 kumpa mama yangu imsaidie amefanyiwa oparation .mwanamke akachapa lapa kwao.yani hataki msaada wowote uende kwa mama yangu.ameshatusababisha ndugu wote tugombane na kaka yetu.ili aweze kufaidi peke yake kwa kumtawala.juzi mama yangu aliomba pesa ya kununua jiko kwa kaka.mkewe akatuma msg kwa mama.kwamba mumewe anabanwa sana na ujenzi kama hana mahali pengine pa kupata hela akavunje mahali aibe.ikabidi ndugu tuingilie kati kumuuliza wifi yetu kulikoni jamani anatutukania mama yetu aliyetulea kwa shida toka afariki baba yetu miaka 23 iliyopita.cha ajabu kaka alisaport alichokifanya na kukisema mkewe.yaani tumebaki midomo wazi. Na mshangao juu.jamani huyu kaka kalogwa au ni upoyoyo wake mwenyewe?

Nyumba kubwa wajua mie hii mada inanipa picha tofauti kabisa! Nafikiri mleta mada ndo ameniinfluence

Yaani naiona kama ni mojawapo ya zile familia zenye kuwekeana nyimbo za mipasho, khanga za mafumbo na vicheko vya halo haloooo utajiju' vile ambapo mke hata huo uwezo wa kutambua hii ni kesi nauziwa hana anachokiwaza yeye ni .... Eheee ngoja niwakomeshe....
udogo unaupima vipi? Toa ushauri ukishindwa piga kimya, we unayajua maisha wanayoishi?sasa weee dada buku 50 tu inakutoa roho mpaka unatangaza humu?? vitu vidogo tu hivyo,,au wee ndo umelogwa?? kwanza umeolewa kweli wewe? labda tuanzie hapo
ninakaka yangu wa pekee ktk familia ya watu 5.ameoa mwanamke wa kioldmoshi.jamani dada huyo hafai.kwa uchoyo,mdomo na ubinafsi.kuna siku kaka yangu alitoa elfu 50 kumpa mama yangu imsaidie amefanyiwa oparation .mwanamke akachapa lapa kwao.yani hataki msaada wowote uende kwa mama yangu.ameshatusababisha ndugu wote tugombane na kaka yetu.ili aweze kufaidi peke yake kwa kumtawala.juzi mama yangu aliomba pesa ya kununua jiko kwa kaka.mkewe akatuma msg kwa mama.kwamba mumewe anabanwa sana na ujenzi kama hana mahali pengine pa kupata hela akavunje mahali aibe.ikabidi ndugu tuingilie kati kumuuliza wifi yetu kulikoni jamani anatutukania mama yetu aliyetulea kwa shida toka afariki baba yetu miaka 23 iliyopita.cha ajabu kaka alisaport alichokifanya na kukisema mkewe.yaani tumebaki midomo wazi. Na mshangao juu.jamani huyu kaka kalogwa au ni upoyoyo wake mwenyewe?

ninakaka yangu wa pekee ktk familia ya watu 5.ameoa mwanamke wa kioldmoshi.jamani dada huyo hafai.kwa uchoyo,mdomo na ubinafsi.kuna siku kaka yangu alitoa elfu 50 kumpa mama yangu imsaidie amefanyiwa oparation .mwanamke akachapa lapa kwao.yani hataki msaada wowote uende kwa mama yangu.ameshatusababisha ndugu wote tugombane na kaka yetu.ili aweze kufaidi peke yake kwa kumtawala.juzi mama yangu aliomba pesa ya kununua jiko kwa kaka.mkewe akatuma msg kwa mama.kwamba mumewe anabanwa sana na ujenzi kama hana mahali pengine pa kupata hela akavunje mahali aibe.ikabidi ndugu tuingilie kati kumuuliza wifi yetu kulikoni jamani anatutukania mama yetu aliyetulea kwa shida toka afariki baba yetu miaka 23 iliyopita.cha ajabu kaka alisaport alichokifanya na kukisema mkewe.yaani tumebaki midomo wazi. Na mshangao juu.jamani huyu kaka kalogwa au ni upoyoyo wake mwenyewe?
wala!!! inaelekea nyie mmemzoea vibaya huyo kaka yenu, mpo wa5 lakini cjackia mkijichanga kumpa mama msaada, ooh,kaka katoa 50,kaka anunue jiko.... wifi yako mjanja bwana,akiwaendekeza mtamrudisha kijijini wakati mjini patamu.....loh!!!mmezidi.. umeolewa dada?? embu olewa yakukute ww uone utafanyaje,tena ww ndo unaweza ukamfungia huyo mumeo hata kwenda kwao kama ukijua kuwa akienda 2 lazima arudi m2pu,na lyf hii ya bongo she z veeeeeeeeery right.

...dahhh,....kuna dalili ndoa hii ilikosa baraka za huyo mama na nyie kina dada tangu mwanzo.

Tatizo ni huko Old Moshi au huyo mwanamke?...kwa experience yangu ndogo ya mambo haya, nahisi

mambo yamewafika kooni huyo kaka yenu na mkewe wanavyoingiliwa kwenye ndoa yao. [Japo sio busara,] wamejionea liwalo na liwe.
MJ1 kwa wengi hili la mama kupitia kwa mke halikubaliki kabisa, sijui labda ni kwa mila za wengine, lakini mama anapokuwa na tatizo anatakiwa aende moja kwa moja kwa mwanae na kumueleza tatizo, lakini labda kuna mila nyingine hili haliruhusiwi.

Hapa naona lawama zimeelekea kwenye u-old moshi tu! Hii imenifanya nihisi kuna zaidi ya hela kwwenye hili bifu.
Ungeweza tu kumadress wifi yako kivingine si lazima utumie kabila maana siamini ndilo limemfanya kaka yako awe na roho aliyonayo.
(nimekumbuka ile mada ya MJ1 ya mawifi na wakwe)