Jamani maji yamefika shingoni nimwachaje?

Jamani maji yamefika shingoni nimwachaje?

nimesoma mawazo yenu wadau kwanza niwashukuru kuna muda wana jf wanakuwa na
hasira zaidi ya mtuu husika nawashukuru saana nimepata mwangaa japo afadhali

nimeona niongeze kujijali sana na kuzidi kupendeza na kwenda viwanja clasic zaidi
kwa ajili ya kupoteza mawazo na mwanamkee akiniomba ata 10k namtumia mama yangu
namwambia nishamtumia
sikuamini na umri wangu kunassiku nitaumia ivi au kuandika uzi kama huuu
 
Ukute mwenyewe yanakugalagaza unatafuta pa kutokea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ah wee ujinga huo nimeacha. Sasa ni kula mbususu kwa raha bila stress alafu uzuri wenu bwana mwanaume akiwa straight to the point na mihela ipo mbususu unapewa tuu
 
Mnavyojikutaga makomando kwenye keyboard sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
once beaten twice shy... Tunajifunza kutokana na makosa. Lesson learned ni kwamba love a woman at ur own peril
 
na hela unatoa nyingi hivyo bado anakunyima hahah si mnasema mnaotoa pesa mnapendwa sana imekuwaje??
 
Pole sana Mkuu. Time to move on haiwezekani KE aliyekuwa anakupenda sana ghafla tu abadilike huku ukiwa hujatenda baya lolote.

Habarini wadau na washauri wa JF

MI bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi sema alikuwa aanijiongeza anaangalia nini kimemss anaongezea.

Tumeenda vizuri kwa tumeishi kwa furaha saanaa gafla mambo yakaanza badilika baada ya mwenzi mmoja na nusu mawasiliano yakapungua kwa kasi ya 4g mara sms zikapungua kujibu hadi ajifikirie na ukimpigia hata ukimwambia may be i love u anajibu thansk nacho umia akiitaji chochote tokea kwangu nampa mapema kabisa kuna muda hata hajaniomba namwambia may be kasuke naona nywele zimechoka nampa 50k nafanya vitu vingi sanaaa juu yake.

Kinachoniuma ni kwamba hana muda na mimi na kwangu hataki kuja na swala la game ukiomba mpaka upewe ni kazi tena bao moja pia hayupo romantic si yule wa kutoa support ukiwa nae faraghaaa yupo tu.

Nisaidieni wadau nimwacheje mana naumia sana kuna muda naharibu hadi kazi kwasababu nakuwa namuwaza sanaaaaa.

KUPENDAA KUNAUMA SANAA
 
Nikisema niseme vyote navyo mtendea mnaweza nichapa,nitukana,nipiga au kujua nimelogwa
zaidi ya 500k ishakata tokea nimekuwa nae suprise za hapa na pale ni kama mvua kwake

nipo apa kazini naona nimebeba dunia nawaza nikimpotezea akikausha itakuwa na sina
ata mchepuko useme utanifariji sinaaaaa
bladfaken
Mkuupiga chini huyo mpuuzi vuta chuma nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli hilo linawezekana lakini si sababu ya kukaa kimya na kuharibu penzi. Ni kukaa chini kuongea na kumwambia kosa alilofanya na yeye aeleze upande wake au kama anaona amekosea basi aombe samahani ili penzi liendelee. Jamaa mpaka kafikia kuharibu kazi ni dalili tosha alimpenda sana mpenzi wake. Mrembo kaamua kula ngumu japo naye si ajabu anateseka au yuko busy kwenye penzi jipya. Au nakosea Mark Window? 😜😜😜

Baya lipo.. kuna wakati KE akichukia huwa hasemi...Unaona mambo yanaanza kubadilika tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii kauli mimi pia inanishangaza unakuta mtu anaanza "nampenda sana na yeye ananipenda sana " alafu chini yake anaanza kulia kwamba hamuelewi mpenzi wake
Yan wahuni apa huwa wananichanganya sana
 
Habarini wadau na washauri wa JF

MI bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi sema alikuwa aanijiongeza anaangalia nini kimemss anaongezea.

Tumeenda vizuri kwa tumeishi kwa furaha saanaa gafla mambo yakaanza badilika baada ya mwenzi mmoja na nusu mawasiliano yakapungua kwa kasi ya 4g mara sms zikapungua kujibu hadi ajifikirie na ukimpigia hata ukimwambia may be i love u anajibu thansk nacho umia akiitaji chochote tokea kwangu nampa mapema kabisa kuna muda hata hajaniomba namwambia may be kasuke naona nywele zimechoka nampa 50k nafanya vitu vingi sanaaa juu yake.

Kinachoniuma ni kwamba hana muda na mimi na kwangu hataki kuja na swala la game ukiomba mpaka upewe ni kazi tena bao moja pia hayupo romantic si yule wa kutoa support ukiwa nae faraghaaa yupo tu.

Nisaidieni wadau nimwacheje mana naumia sana kuna muda naharibu hadi kazi kwasababu nakuwa namuwaza sanaaaaa.

KUPENDAA KUNAUMA SANAA
Sasa Unauliza Umuacheje wakati jibu unalo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anakazwa sehemu huyo utakuja kulea watoto sio wako mzee Piga Chini hawa Viumbe wamejaa kibaaao na wengine hawana pa kwenda

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom