mapenzi yao ni ya long distance mwanamke yupo dar mwanaume yupo shinyanga.... ndo maana yamekaa mda wote huo
yani ni shoga yangu mno tumesoma nae o level advanced chuo..... yule pesa si issue kwake muhimu mapenzi.............. basi kitandani hajui okey awe basi mchangamfu, mtundu, wakikaa wanaangaliana kama TV watu hawajaonana miezi saba.... lo\
ana miaka 26.... according to yeye afikishwi compare na wapenzi wake wawili wa nyuma .... anajitahidi kutokufanya comparison inashindikana,............ yani anjikuta anamfundisha jamaaa hadi sehemu gani yakushika lakinii jamaa aelewi mbishi .....
Ampige chini fasta, la sivyo ataspend the rest of her life in a cold, unromantic and miserable marriage! Jamaa hana bastola lakini?
Kama yupo sincere na malalamiko yake haya ni kheri asonge mbele. Ingawa tokana na maelezo yako kua 1. Kakaa nae miaka mitano 2. Ndugu zake wanamkubali to the extent wanaona anafaa kujiunga katika hiyo familia; naona kuwa yawezekana kabisa he is a good guy (madhaifu hayawezi kukosa) ila hajampenda.
Ni kheri aamue na kusimamia msimamo wake aachie ngazi.
Samahani kwanza! Swali la kizushi tu, Kwani wewe umekeketwa? Ama hujawahi gegedwa kabisa?
Nimeielewa sana japo kuwa wachangiaji wengine wanavurunda sijui hawajasoma vizuri. Jamani mausiano bila ngono nisawa na gari bila oil itakufa tu kwenye ngono lazima kila mtu afurahie leo male kesho fmale au wote kwa pamoja wafike kileleni . Na kama akiolewa ndoa hiatadumu atagegedewa tu mana vipele lazima vipasuliwe kwa ushauri zaidi ni pm
dah nimecheka sana miss chagga, kwamba "angekua na hela..."
Na bila uchangamfu/utundu kwenye mapenzi hakuna mautamu hapo.
Adi hapo baaaas...kilichobaki dada afanye maamuzi magumu,dalili ya mvua mawingu.
mkuu yani kwa mwanaume hata kama demu hataki unaweza ingiza ukamaliza....... lakini mwanamke ni mpaka mwanaume isimame ndo iingie........... of course in life sheet happens hapendi kumcompare lakini anajikuta anakumbuka huko kwa sababu jamaa hajui kabisa mapenzi hana in general he is not creative generally not in bed only even in normal life ya mapenziwatu8 haya ndio matatizo yanayogharimu mapenzi ya wengi, wanasahau kila mto una kina chake hvyo mbinu za kuvuka ni tofauti. Ona analinganisha na wawili waliompitia. Anategemea nin kama sio kuachika kila atakapofika? Na hivi kiwango kikizidi atakimbia?
Basi mshauri rafiki yako wafunge ndoa halafu hayo nengine watayajadili kama wanandoa. Coz kama ikifikia hatua wakaachana mtaanza kututuhumu wanaume tunapenda shake before use halafu tunatema.
inaonekana uke wake ulishaota sugu,sasa hata hasikii chochote jamaa anapo mnanihii...matatizo ya kuanza ngono utotoni.
Lakini jamaa si anaonyesha hataki kufundishika kwenye mautundu? Mana km anaekewa mpaka cd na hakuna badiliko mana yake nini sasa. Bora angekua na kimojawapo kati ya hivo viwili basi.
Hilo rafiki lako ni gubegube halishikiki.ana miaka 26.... according to yeye afikishwi compare na wapenzi wake wawili wa nyuma .... anajitahidi kutokufanya comparison inashindikana,............ yani anjikuta anamfundisha jamaaa hadi sehemu gani yakushika lakinii jamaa aelewi mbishi .....