Kisali.TechnitianJr.
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 592
- 183
sijakeketwa na nimeshawahi fanya mapenzi
Kisheria mtu mwenye mawazo haya si MWIZI?
Ntasema haya
1. Mwanamme hajui mapenzi afu kakaa naye miaka 5?
2. Tafuta mwanamme akuweke busy, mapenzi ya rafiki yako yasikunyime usingizi.
Nashangaa kwa nini huyapendi na ulishaonja utamu wake
'kuishughulikia papuchi hajui'....duh....
Nasikia leo mtu anafundishwa kugegeda, kuna mtu atakuja na threat kuuliza papuchi iko wapi!
ndiyo hajui anaiangalia tu......
jamani mmh aya........... yasijekukuta tu ukaachama mdomoBahati inaondoka iyo mwambie hatoweza kumpata mwanaume atakae funga nae ndoa zaidi ya wasugua gaga wenzie a.k.a porn stars naomba umwelewe kijana gitaa lake dogo hakujua kama anaenda tumbuiza uwanja wa taifa...washenzi ninyi mnapenda ngono mno.
Mwizi wa nini sasa?
Ntasema haya
1. Mwanamme hajui mapenzi afu kakaa naye miaka 5?
2. Tafuta mwanamme akuweke busy, mapenzi ya rafiki yako yasikunyime usingizi.
kwanini asifanye ile syle ya mwanaume chini ke juu, ajirushe mpk aridhike? mhh!! ila mme mtu hachaguliwi lol
we unajua ilipo ? usijekuta na wewe unaiangalia tu
you have spoken King'astiAhahahaha!
Samahani kicheko kimeniponyoka.
Ila nyie watoto mmezidi utaalamu hadi mnajiponza. Mmezoea maharage yenye magadi basi mkikuta hotelini wametia nazi mnaona sio matamu! Enzi zetu aliekupenda ndo huyo huyo basi ndo hujui mbichi wala mbovu, unakula na kijulamba vidole. Khaa!
Kweli utuuzima dawa....maana hapo namba 2 umegusa ikulu.....kwa kifupi, rafiki yake ni yeye mwenyewe....i.e anatumia nafsi ya tatu...staili ya uandishi tu...
uwii sitakiNionyeshe usipoona panatoka vumbi
kafanya yote hayo rafiki dushelele lina lala hasa akimaliza goli la kwanza na wakati mwingini aisimami kabisa