kukucd
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 307
- 196
Habari za wakati huu wapendwa....
Let me go straight to the point, nina ujauzito wa miezi 3,jana jioni nimetumia ile tiba ya MziziMkavu ya vitunguu swaumu ikiwa imechanganywa na maji vuguvugu kiasi cha kijiko 1 cha chakula,nilitumia nusu kitunguu kile chenye rangi ya dhambarau.
Nimeamka asubuh nikaona matone kidogo ya damu kwenye pichu nilistaajabu kidogo,lakini mpaka wakati huu damu imeongezeka na nikama ya bleed,but sio nyekundu nikama ina dark hivi,ni light.
Haina harufu kali kama ya bleed,jion hii imezidi hadi nimevaa ped kwanamna inavoongezeka,inaweza kua miscariage?
Au tatizo gani?
Naomba msaada wa mawazo jamani nipo njia panda.
Regards
Kukucd