Jamani mimba yangu, msaada

Jamani mimba yangu, msaada

Status
Not open for further replies.

kukucd

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
307
Reaction score
196
Habari za wakati huu wapendwa....

Let me go straight to the point, nina ujauzito wa miezi 3,jana jioni nimetumia ile tiba ya MziziMkavu ya vitunguu swaumu ikiwa imechanganywa na maji vuguvugu kiasi cha kijiko 1 cha chakula,nilitumia nusu kitunguu kile chenye rangi ya dhambarau.

Nimeamka asubuh nikaona matone kidogo ya damu kwenye pichu nilistaajabu kidogo,lakini mpaka wakati huu damu imeongezeka na nikama ya bleed,but sio nyekundu nikama ina dark hivi,ni light.

Haina harufu kali kama ya bleed,jion hii imezidi hadi nimevaa ped kwanamna inavoongezeka,inaweza kua miscariage?

Au tatizo gani?

Naomba msaada wa mawazo jamani nipo njia panda.

Regards
Kukucd
 
Wahi hospitali haraka sana hiyo sio dalili nzuri kabisa tafadhali si unajua ushauri wa kitabibu hautolewi hadhara
 
Habari za wakati huu wapendwa....

Let me go straight to the point, nina ujauzito wa miezi 3,jana jioni nimetumia ile tiba ya Mzizi mkavu ya vitunguu swaumu ikiwa imechanganywa na maji vuguvugu kiasi cha kijiko 1 cha chakula,nilitumia nusu kitunguu kile chenye rangi ya dhambarau.

nimeamka asubuh nikaona matone kidogo ya damu kwenye pichu nilistaajabu kidogo,lakin mpaka wakati huu damu imeongezeka na nikama ya bleed,but sio nyekundu nikama ina dark hivi,ni light,haina harufu kali kama ya bleed,jion hii imezidi hadi nimevaa ped kwanamna inavoongezeka,inaweza kua miscariage?au tatizo gan?naomba msaada wa mawazo jamani nipo njia panda.

Regards
Kukucd

Pole rafiki,ngoja waje wataalam zaidi but wakati mwengine sio vizuri kujaribu jaribu vitu unavyokutana navyo kwnye social network(s),hasa vihusuvyo afya..ongeza umakini kidogo mdau uhai haununuliwi sokoni.
 
Last edited by a moderator:
Hii kitunguu swaumu ni tiba ya nini kwa mjamzito? Sikuwahi kuuona huo uzi wa Dr MziziMkavu.
 
Last edited by a moderator:
Pole rafiki,ngoja waje wataalam zaidi but wakati mwengine sio vizuri kujaribu jaribu vitu unavyokutana navyo kwnye social network(s),hasa vihusuvyo afya..ongeza umakini kidogo mdau uhai haununuliwi sokoni.

thanks
 
Ukiwa na mimba changa kama ina complications, vitu fulani hukatazwa, mfano pilipili, papai, pombe na jigijigi.

Nahisi vitunguu saumu vina athari kama pilipili.

Lakini spoting wakati wa ujauzito ni moja ya dalili mbaya sana. Nenda hospital sasa hivi.
 
pole sana! kwani mzizimkavu alisema in dawa ya fungus kwa wajawazito?maana sikumbuki kusoma hivyo" wahi hospitali
 
Ni kweli kabisa, nilimuona jamaa kamenya punje moja ya kitunguu saumu na kukitafuna alivyohangaika kutafuta maji ya kunywa utadhani alikaribia kukata roho. Alidai ukali wake hata pilipili haioni ndani. I hope huyu dada ujauzito wake haujaharibika, lakini kwa jinsi alivyoelezea nina mashaka sana.

Ukiwa na mimba changa kama ina complications, vitu fulani hukatazwa, mfano pilipili, papai, pombe na jigijigi.

Nahisi vitunguu saumu vina athari kama pilipili.

Lakini spoting wakati wa ujauzito ni moja ya dalili mbaya sana. Nenda hospital sasa hivi.
 
Habari za wakati huu wapendwa....

Let me go straight to the point, nina ujauzito wa miezi 3,jana jioni nimetumia ile tiba ya MziziMkavu ya vitunguu swaumu ikiwa imechanganywa na maji vuguvugu kiasi cha kijiko 1 cha chakula,nilitumia nusu kitunguu kile chenye rangi ya dhambarau.

nimeamka asubuh nikaona matone kidogo ya damu kwenye pichu nilistaajabu kidogo,lakin mpaka wakati huu damu imeongezeka na nikama ya bleed,but sio nyekundu nikama ina dark hivi,ni light,haina harufu kali kama ya bleed,jion hii imezidi hadi nimevaa ped kwanamna inavoongezeka,inaweza kua miscariage?au tatizo gan?naomba msaada wa mawazo jamani nipo njia panda.

Regards
Kukucd

Ni missed miscarriage!
 
Last edited by a moderator:
Hapo lazima 1. Hukufuata maelekezo.
2. Umejizidishia dozi.

Wahi hospital.
 
Wakati wa ujauzito hupaswi kutumia dawa ama remedy yoyote bila kuwasiliana na dr wako. By the way, kupata fungus wakati wa ujauzito ni kawaida kabisa.

pole sana, bado tu hujafika hospitali?
 
Pole sana dada.Mimba imetoka hiyo.Kitunguu swaumu mbona inatoa mimba changa au hujui?
 
Habari za wakati huu wapendwa....

Let me go straight to the point, nina ujauzito wa miezi 3,jana jioni nimetumia ile tiba ya MziziMkavu ya vitunguu swaumu ikiwa imechanganywa na maji vuguvugu kiasi cha kijiko 1 cha chakula,nilitumia nusu kitunguu kile chenye rangi ya dhambarau.

nimeamka asubuh nikaona matone kidogo ya damu kwenye pichu nilistaajabu kidogo,lakin mpaka wakati huu damu imeongezeka na nikama ya bleed,but sio nyekundu nikama ina dark hivi,ni light,haina harufu kali kama ya bleed,jion hii imezidi hadi nimevaa ped kwanamna inavoongezeka,inaweza kua miscariage?au tatizo gan?naomba msaada wa mawazo jamani nipo njia panda.

Regards
Kukucd

Pole dada! vitunguu swaumu vitatoa mimba.Nenda kariuki wana huduma za haraka sana wanaweza kukusaidi kama mtoto bado yuko kwenye mji wa uzazi.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom