Jamani mimba yangu, msaada

Status
Not open for further replies.

Mkuu hizi precautions ulizitoa toka awali?
 

DR, Ultrasound ndio kipimo kinachoweza kudetect kama mimba imeharibika au la? za siku lakini?
 
Mkuu hizi precautions ulizitoa toka awali?
wewe inakuhusu kitu gani? Kwani mimi ndio niliye mwambia atumie kitunguu saumu? Si amekitumia kwa kuona Thread zangu acha maneno yako ya kejeli hapa kama huna maneno ya kuzungumza bora unyamaze ukianza kuleta maneno yako ya pumba na mimi nitakuletea maneno machafu zaidi ya hayo unaasemaje? Utakula Ban wewe chezea mimi.
 

Afande, kwani mapolisi mkikosea mnareportiwa wapi? au ndio inakuwa imekula kwetu?
 
Afadhali ulivyomjibu huyu.@kukucd mimi sikumpa ushauri atumie Kitunguu Saumu mimi huwa simpi mtu dawa pasipo kujuwa kam ana mimb aau hana mimba. Yeye ameona Thread yangu kuhus faida ya kitunguu Saumu ameamuwa kukitumia pasipo na kutaka ushauri kwangu sasa hata kama akiumwa mimi kwangu inanihus kitu gani? asante kwa kujibu vizuri mkuu ZeMarcopolo
 

Mkuu, mbona yanataka kuwa makubwa, basi samahani-mi nauliza tu, vipi kama watu wengi watafuata maelezo yako alafu wakapata madhara kama huyu dada? by the way bado haijathibitika kama ushauri wako ndio umesababisha matatizo sa sielewi kwa nini umekuwa mbogo.
 
Dada nakushauri nenda kariuki.kama umeenda hosptal za serikali basi ujue utampoteza huyo mtoto.

sipo dar mpendwa,nipo arusha lakin nafikiri hi hospital niliyopo ni nzur pia.
 
Afande, kwani mapolisi mkikosea mnareportiwa wapi? au ndio inakuwa imekula kwetu?
Utaweza kumshitaki Polisi wa Usalama wa Taifa wewe ? haya nenda kokote kanishitaki mimi Mzizimkavu. Labda unishitaki hapa kwa Moderator sio kituo cha Polisi hawa polisi wa vituoni wanawajuwa Polisi wa Usalama wa Taifa ni akina nani nchini hapo? chezea Usalama wa Taifa utakwenda ndani bila ya kwenda Mahakamani.
 
Pole sana mpendwa.hata mimi niwawahi kupata matatizo kamama hayo.kama umefika hosptal nina uhakika wata kusaidia.kama haijatoka huwa wanatoa vidonge aina mbili ni vidonge vya homon.
 

mhhhhhhhh mbona umekuwa mbogo MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:

Sawa Afande
Lakini umuhimu wa kutoa taarifa polisi uko pale pale, sababu kama wewe ni askari alafu unakuja kwenye mitandao huku kutangaza tiba haouni kama kuna umuhimu wa jeshi la polisi kuchunguza udaktari wako?

hasa ukizingatia namna unavyojaribu kujiweka mbali na hili tatizo wakati huyu dada kakutaja ni wewe ndio muhusika? au humu JF kuna MziziMkavu wangapi?
 

Hakuna hata mtu aliyefuata Ushauri wangu kisha kadhurika umeona jinsi alivyosema

huyu aliyeweka hii thread? amesema hivi ninanukuu
(Jamani mimba yangu!msaada)

hakusema kuwa mimi nimempa huo ushauri alitumia dawa ya kitunguu saumu kwa kuwa

aliona Thread yangu kuhusu faida ya kitunguu saumu sasa wewe unanilaumu kitu gani?

ninawapa ushauri wa bure badala ya kushukuru unaanza kuleta maneno yako ya

Pumba? kuna mtu ananilipa kwa ushauri wangu ninaotowa humu ndani ya Jamii forums?

Nimewasaidia wengi tu sitaki malipo yao wala shukrani zao ninachohitaji Anilipe ni

Mwenyeezi Mungu sihitaji Binadamu anilipe sisi binadamu hatuna shukran hata umfanyie

wema gani binadamu mwenzako atakulipa mabaya mlipaji ni mmoja naye ni Mwenyeezi

Mungu peke yake ndio ninaye mtegemea kunilipa sio bindamu aliye kuwa na kasoro tele tu.
 
Nenda huko Polisi nimekuruhusu uende utakwenda lini huko Polisi?
 

Mkuu, nachokiona ni kwamba hili swala mwisho wa siku litakuwa la kisheria zaidi,mimi kwa upeo wangu ninaona kuna uwezekano wa wewe kuwa responsible.

Japo siombei, lakini kama mimba ya huyu dada itaharibika unaweza kuwajibika kumlipa fidia, na adhabu nyingine ya/za ziada.

wapo wanasheria humu, watasaidia japo kwa level ya hapa jamvini.
 
Nenda huko Polisi nimekuruhusu uende utakwenda lini huko Polisi?
watetea haki za binaadamu na akina mama, mko wapiiiiiiii
Mimi siwezi kwenda polisi, sababu simfahamu huyu dada, lakini kama kunatatizo, walah nakuambia, baba wa mtoto hawezi kukuelewa mkuu.
 
mhhhhhhhh mbona umekuwa mbogo MziziMkavu
Bibie miss neddy Sijawa mbogo bibie huyu Mkuu.@Sangarara ananikwaza na kuniharibia siku yangu nitamshitakia kwa Bwana Mungu amuhukumu kwa sababu ananiharibia siku yangu ya leo ngojea nimsomee DUA:

Zaburi, Chapter 23


23:4 Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji. AMEEN
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…