Jamani mimba yangu, msaada

Status
Not open for further replies.

King'asti kumbe unajua kiingereza hivyo?? Nitapenda uwe unanifundisha usiku kucha ili na mimi nijue kama wewe.
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu, siku nyingine mtu akikupa statement kama hiyo, yenye masharti kama ulozi 'kama umeenda serikalini utampoteza mtoto', jifunze kujibu kwa sala. Muambie 'kwa jina la Yesu/Allah, sitampoteza'. Mpe na kifungu cha kiimani kinachoongelea juu ya Mungu kutupa uhai na jukumu la kubeba mimba.

all the best, uwe na amani. Na siku nyingine hata kama una homa tu, hakikisha unawasiliana na dr kabla ya kutumia dawa.
sipo dar mpendwa,nipo arusha lakin nafikiri hi hospital niliyopo ni nzur pia.
 
Hautaweza kumudu gharama zangu. Andy you are too dumb, i am not a patient persona. Ukimsemesha mtu asipokujibu ujue hataki ukaribu na wewe.
So stop sending me PMs, i ain't your friend.

Paw, please block this user from sending me PMs.
King'asti kumbe unajua kiingereza hivyo?? Nitapenda uwe unanifundisha usiku kucha ili na mimi nijue kama wewe.
 
Last edited by a moderator:

Ni swala la kuelimishana tu, sababu naona ni kama vile mnachukulia niko namsomea hukumu MziziMkavu kwenda jela.
Kwa mfano tukizingumzia, precautions ambazo huwa zinawekwa kwenye madawa mbalimbali unafikiri huwa zinawekwa kwa sababu gani? zinawekwa kama best practice tu au ni safe guards to legal issues?
 
Last edited by a moderator:

Aah wewe mtoto anaelekezwa! Yesu sawa na huyo mwingine?
 
Kajichanganyaje? Hakujui naona, siku ukiniblock i will kirr you.

Hautaweza kumudu gharama zangu. Andy you are too dumb, i am not a patient persona. Ukimsemesha mtu asipokujibu ujue hataki ukaribu na wewe.
So stop sending me PMs, i ain't your friend.

Paw, please block this user from sending me PMs.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, you are not dumb. Nikikublock najua hasara ya kwangu lol. Sina patience na watu wenye uelewa finyu, aaagh!

afu nimekumiss, twende tukanywe safari water sie maisha yenyewe ndo haya haya
Kajichanganyaje? Hakujui naona, siku ukiniblock i will kirr you.
 
Hii elimu yako ni kiboko.
hapa sio hospitali. Daktari hata kama anakushauri dawa ni muhimu akuone na apate maelezo yote. Mwisho wa siku, ukienda hospital, kama unatumia dawa zingine ama una ugonjwa say wa moyo ama figo ni lazima umueleze dr.

ila nisikuzuie kujielimisha, hebu nenda kituo cha polisi uwaulize kama huyu jamaa ana kesi ya kujibu ama la
 
Last edited by a moderator:
hivi hapa nchini hakuna hata scenerio moja ya mgonjwa kumpeleka mahakani doctor kutokana na madhara aliyoyapata kwa kufuata ushauri wake?

Nakumbuka dhamani kidogo niliwahi kusikia kwenye vyombo vya habari jamaa aliyewapeleka agakhan hospital mahakamani baada ya vipimo vyao kuonyesha ana ukimwi na mchakato wa kufunga ndoa yake ukasimama wakati infact hakuwa na maradhi hayo.

Ni bora tukaacha hisia kwenye hili swala na kujadiri kwa manufaa ya wote, watoaji ushauri na watumiaji wa ushauri huo. Naona inaonekana ni kama nina bifu na MziziMkavu wakati infact hata mimi huwa nafuata baadhi ya ushari wake, naweza nikawa natumia approach ambayo inawakera wengine lakini lengo langu ni kuboresha tu.
 
Last edited by a moderator:
If you believe everything you read,
better not read.
 

Dada naona unawaogopa polisi kwelikweli.
polisi wetu hawana uwezo wa kudadavua hili swala,

haujanieleza basis ya wazalisha madawa kuweka precautions za matumizi, ni kwa nini? wanaweza kuamua kuacha vilevile na ikawa poa tu?
 

Duu hadi papai!? sikujua.nahisi hata asali sio nzuri pia sina uhakika
 
Kuna gynae namfahamu alishtakiwa na kusimamishwa kazi na tanganyika medical association kwa mwaka mmoja. Ili uonekane kuwa una haki na umekosewa na daktari kuna vitu vinahitajika.

1 uwepo ushahidi kuwa mhusika alikupa indication kuwa yeye ni mtaalamu husika. Mfano umemkuta hospitalina koti, akiwa na ofisi ama kitambulishi

2 kuwe na ushahidi kuwa alikupa huduma. Mfano uliandikishwa, na kulipia. Practice hii ni hata kwa wanasheria, ili uwe mteja shurti ulipie ada. Ndio maana hospitali ya serikali inasema lipia sh 500, mahakamani kuna ada hata za sh 200.

3 kuwe na uwezekano wa maandishi kuwa alikuandikia dawa etc

haya yote nakujibu kwa logic tu na sio kama mimi najua sheria za tanganyika law society. So, logicalky huwezi kusema thread iliyoandikwa kwa ajili ya watu wote imekuletea madhara. Ni sawa na kutaka kumshtaki mmiliki wa jf kwa kuandikwa vibaya humu.
 
Last edited by a moderator:
Hautaweza kumudu gharama zangu. Andy you are too dumb, i am not a patient persona. Ukimsemesha mtu asipokujibu ujue hataki ukaribu na wewe.
So stop sending me PMs, i ain't your friend.

Paw, please block this user from sending me PMs.

gharama zako siziwezi? acha kuchekesha dunia wewe.Gharama zako za nini?? Sijawahi ku...na mtu aliezaa wewe.Mimi hapa jf ni sehemu ya kuburudisha akili tu! Na wewe unavyonikazania niandike miradhi 'unanijua?? Acha kutafuta soko mgongoni mwangu wewe,tambua na uelewe wewe sio mtu wa kushindana na mimi,mimi sio wa kujikweza.
 
Last edited by a moderator:

Sasa tuko pamoja, I reserve my comment though.
 

Mkuu imekuaje tena? huyu dada mbona nimeona anasema hataki mawasiliano na wewe? au haujamuelewa?
 

Duu.Hapa ndugu umekosea.maneno gani hayo.Its not like you.Na siku nyingine weka tahadhari mapema watu watumie kwa risk zao
 
Mie simuogopi yeyote, i read and understand my rights na ikibidi nahusisha mtaalamu.

unataka precaution ibandikwe na kwenye nyanya pia 'kama una vidonda vya tumbo basi usitumie'?
Hebu google tofauti ya medication na remedy. Sijawahi kumuona MziziMkavu akishauri dawa hapa (medication), kwa sababu kitaaluma huruhusiwi kumtibu mgonjwa usiemuona. Sehemu ya diagnosis ni pamoja na muonekano wa mgonjwa
Dada naona unawaogopa polisi kwelikweli.
polisi wetu hawana uwezo wa kudadavua hili swala,

haujanieleza basis ya wazalisha madawa kuweka precautions za matumizi, ni kwa nini? wanaweza kuamua kuacha vilevile na ikawa poa tu?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…