Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
Hamna cha sheria wala nini, unakurupuka tu. Hebu nyamaza doubt kidogo ya hekima yako ibakie.
kila kona hospitalini kumeandikwa 'advice your dr if you suspect/know you are pregnant'. Kuna dawa hata za kupaka kama cream, na vidonge ambavyo huruhusiwi kutumia kama ni mjamzito. Na ukimuambia dr unahisi ujauzito utapimwa kwanza kama hakuna alternative.
wasishatkiwe wanaotapeli watu kutibu ukimwi, hadi watu wanaacha dawa na kuja kuongeza mzigo wa matibabu baadae! Akashtakiwe MziziMkavu kwa kushauri kutumia vitunguu swaumu? Tuondokee hapa bush lawyer!
King'asti kumbe unajua kiingereza hivyo?? Nitapenda uwe unanifundisha usiku kucha ili na mimi nijue kama wewe.
Last edited by a moderator: