JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
- Thread starter
- #21
Yeah ni diesel 3.0TDI,Hii ni diesel? Fault moja hapo inaonyesha kama vile ‘fundi Maiko’ alijaribu kufanya programming kwenye ecu.
Yes hiyo fault moja inaonekana walikosea kuprogram ecu.
Nazipenda sana gari za mzungu, kuna matatizo yapo straight forward.
Hapo kuna dtc ya maf sensor na intake air leak,
Hose linalotoka kwenye maf sensor lilikuwa halijachomekwa kwa hiyo hewa ikawa haipiti kwenye maf sensor ndio ikatrigger hiyo code.
No ngumu sana kukuta case kama hizo za leak kwenye Japanese, wajapan waliona wakiweka hivo itakuwa dhambi....