Jamani mjitahidi sana kutunza magari yenu

Hio gari sijui aliingia chaka wapi. Ilikuwa bomba kinoma
Kusema ukweli kutokana na uzoefu wangu mdogo, watu wengi Minazini wanaosema wanafanya ecu programming ni wazinguaji sana. Kazi zenyewe wanatoza bei kubwa kuliko uhalisia. Halafu kazi hawafanyi sahihi. Nina experience na ‘mafundi’ watatu ambao walinitoza bei kubwa, na mara zote walishindwa kazi. Ni ‘mafundi’ wakubwa hapo Darisalama.
 
Bongo ukisikia Porsche ujue tu Ni Cayenne na hapa utakuta Ni zile za 3.2l(petrol),3.6l(petrol)na 3.0l(diesel)turbocharge,zile za 4.5L V8,4.5L TT V8 Turbo,4.8L V8 Ni za kuhesabu , Porsche nyingine Ni boxster,hizo ndio Porsche za wanyonge hapa bongo.
Hatarious
 
Attachments

  • C83E4394-4BC4-4931-B6D5-A27B392C815A.jpeg
    C83E4394-4BC4-4931-B6D5-A27B392C815A.jpeg
    16.6 KB · Views: 30
Bado gari nyingi ni vimeo hata hizo toyota. Kama umeshawahi kununua gari mkononi unaweza kuelewa.

Shida kubwa bado inaweza kuwa kwa mtumiaji.
Mi nimenunua Toyota mkononi mwa mtu ni mwaka wa 4 naumaliza siku ya leo. Saa sita usiku itatimiza mwaka wa 5 hakuna major repair zaidi ya regular kumwaga oil, filters, brakes.
 
Ukweli usiopingika. Nina toyota moja tangu 2014 mwishoni imported from Japan mbaka leo huwa ni service tu labda control box nilibadili 2018 basi ila ni mwendo tuuu....toyota ndio gari zetu ngozi nyeusi hazsumbui sana....hata wenye pochi nene hizo british na germans znawasumbua sanaa tuu
Tatizo ni mafundi Mkuu, German Cars zinataka shule sio kubahatisha.
 
Kiukweli leo nimesikitika sana baada ya kukutana na gari iliyoingia nchini mwaka jana(2021), Ni zile namba D za mwisho mwisho lakini tayari ina majanga makubwa mno.

View attachment 2462509

Gari yenyewe ni Porsche Cayenne na ina Kilometre hazijafika hata laki, lakini tayari ilishaua control box (DME control unit) na wire zishakatwakatwa (Labda hii ndio sababu).

View attachment 2462512

Tumezoea kwenye gari zingine za kijerumani Control Box zinakufa na maji, mtu anaenda kurekebisha gari, ikishafunguliwa sehemu ya Control box wakirudisha hawarudishi na raba au wanarudisha vibaya. Baada ya muda kwisha habari yake.

Lakini hii gari control box yake iko sealed sana. Sijui waliipigisha shoti. Sijui.

Gari inapendeza nje bodi halina hata mkwaruzo ila faults za kutosha baada ya kuifanyia diagnosis. Zaidi ya fault 60.

View attachment 2462514

Kusema ukweli shida siyo gari, Ila shida ni sisi ngozi nyeusi. Kuna mtu yupo humuhumu JF ana Porsche Cayenne namba C lakini hajawahi pata major issues.

View attachment 2462519

Kwa Diagnostic na Repair ya gari ndogo kampuni yoyote 0621 221 606 au 0688 758 625.

Nipo Dar.
Hivi hii diagnosis unaweza kudownload hata kwenye cm wakubwa ??
 
Wakitunza magari utakula wapi?
 
Achana na gari lenye engine na controlbox. Chukua ardhi ipande miti na maua mazurii, wape watanganyika wale pure njoo ichukue ardhi baada ya miezi 6.

Sisi Toyota ndo zinaweza tuvumilia na mfumo wetu wa maisha. Kina rav 4 massawe, Vitara old model ya kwanza kabisa, corola 110, kina gx 110 maana hata vifaa vya ufundi hatuna bado. Mpaka leo oil filter zinafunguliwa na kamba kwenye garadge tena mjini kabisa.
 
Mi nimenunua Toyota mkononi mwa mtu ni mwaka wa 4 naumaliza siku ya leo. Saa sita usiku itatimiza mwaka wa 5 hakuna major repair zaidi ya regular kumwaga oil, filters, brakes.

Izo Cayenne za 2004-5 sijui zina CIF ndogo kama IST.

katika ushauri naweza mpa mtu ni asinunue used Germany car yenye umri zaidi ya 10 years.
Hiyo Cayenne ni Second Gen mkuu.

Haijafika hata miaka 10....

Sijajua CIF yake imekaaje...
 
Izo Cayenne za 2004-5 sijui zina CIF ndogo kama IST.

katika ushauri naweza mpa mtu ni asinunue used Germany car yenye umri zaidi ya 10 years.

Unataka kunambia hizi BMW,Mercides zilizojaa road hazifai? Mbona zinadunda fresh tu

Unajua hii kauli nyepesi kuizungumza lkn uhalisia gari za kuanzia 2013 ni kitita kirefu saana mkuu

Mercedes C200 kuazia 2011 mpk kuifikisha ni ni almost 30ml sasa hapo hujagusa hizi BMW X3, VW

Kiukweli ni ngumu sana na hii si mjerumani tu hata TOYOTA gusa hizo gari za kuanzia 2013 uone bei

Nazani kikubwa ni elimu na uelewa
Fanya research kabla ya kununua,ujue engine code na common problem ya gari husika
 
Uko sahihi mkuu, tatizo wabongo ujamaa wa nyerere umetuathiri sana in such a way thinking yetu ni collective thinking na sio independent thinking, sasa hivi kila mtu utamsikia eti bora Toyota kuliko gari ya Mzungu, wakati hizo Toyota wanazoziona cheap kuzitunza ni za zamani sana. Toyota latest Car haina tofauti na gari ya Mzungu.
 
Watu wamekalili stori za kijiweni

Waangalie Volkswagen tiguan vs toyata Rav 4 2015

Warudi hapa waone mjapani alivosimamia kucha[emoji23]
 
Uko sahihi mkuu, tatizo wabongo ujamaa wa nyerere umetuathiri sana in such a way thinking yetu ni collective thinking na sio independent thinking, sasa hivi kila mtu utamsikia eti bora Toyota kuliko gari ya Mzungu, wakati hizo Toyota wanazoziona cheap kuzitunza ni za zamani sana. Toyota latest Car haina tofauti na gari ya Mzungu.
Magari ya sasa yote ni same tu
 
Back
Top Bottom