JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
- Thread starter
-
- #21
Yeah ni diesel 3.0TDI,Hii ni diesel? Fault moja hapo inaonyesha kama vile ‘fundi Maiko’ alijaribu kufanya programming kwenye ecu.
Toyota was made for tanzania
Nimeona hapo jinsi Christmas tree 🌲 inavyowaka taa za njano maana dash board yote ni taa Tu.
64 fault si mchezo aisee hata hivyo wamiliki wa hayo magari wanajiweza kiuchumi nahisi ningekuwa Mimi mida hii ningekuwa nakemea Tu mapepo
The moment ananipigia aliniuliza kama ninaexperience na Europeans Cars.Tehbteh teh
Mwiaho wa mwaka huu Majnga kila Kona
Hppo Service yake napata Ist Used
Hii limenikuta yaani nimejikuta natengeneza undugu na garage hili gari ni 🚮Bado gari nyingi ni vimeo hata hizo toyota. Kama umeshawahi kununua gari mkononi unaweza kuelewa.
Shida kubwa bado inaweza kuwa kwa mtumiaji.
Mh hio gari mwenyewe niko nae hapa. Nashangaa katoka kuniuliza fundi wa umeme sasa hivi.The moment ananipigia aliniuliza kama ninaexperience na Europeans Cars.
Nikamuambia ndio, namuuliza gari gani akawa anazunguka.
Mwisho akaniambia umeshawahi kutana na VW toureg hivi?
Kwenda nakuta Cayenne.
Mfano uchukue Cayenne 3.0TDI na Toureg 3.0TDI ukiziweka hapo 90% zinafanana, location na layout za fuse na relay ni zilezile, Battery, control units n.k.
Tofauti ni muonekano wa ndani na nje. Cayenne ukiiona tu unaona hii kweli ina premium look tofauti na toureg.
Tena kama hizi za bei rahisi ambavyo vigezo mtu anawekea eti AC unaganda na gari inatembea.Hii limenikuta yaani nimejikuta natengeneza undugu na garage hili gari ni 🚮
Mimi hili nilienjoy safari tu ya kuitoa dar mpaka mkoani nilipo😃😃 baada ya apo ni kipigo tu😬😬 na tatizo ni grand car hata kusema uiuze unakosa mtejaTena kama hizi za bei rahisi ambavyo vigezo mtu anawekea eti AC unaganda na gari inatembea.
Kimbia sana.
Kwanza biashara ya kununua gari ina matatizo, halafu mnapunguziana na muuzaji eti ukatengeneze wewe inabidi uwe makini sana.
Tulishanunua Swift inagonga ukikata corner, jamaa akakomalia ni CV joint. Mboja tulinunua driveshaft zote mbili.
Mh hio gari mwenyewe niko nae hapa. Nashangaa katoka kuniuliza fundi wa umeme sasa hivi.
Hio gari sijui aliingia chaka wapi. Ilikuwa bomba kinomaMimi tuliongea tu kuhusu Diagnosis, So far kazi yenyewe sijamaliza. Gari ilikuja kuwaka very late.
Hio gari sijui aliingia chaka wapi. Ilikuwa bomba kinoma
Ukiweza ifix hiyo gari basi utakuwa umetisha sana.Mimi tuliongea tu kuhusu Diagnosis, So far kazi yenyewe sijamaliza. Gari ilikuja kuwaka very late.
Engine haina masaibu mengi.Ukiweza ifix hiyo gari basi utakuwa umetisha sana.
Engine haina masaibu mengi.
Bado naendelea sijamalizana nayo.
Gearbox haina fault yoyote.
sure , kuna mahala nilisoma kama wana ushirikiano na company ya ndege flani kwenye kuunda dashboardsHiyo gari iña interior kali sana.
All the best.Engine haina masaibu mengi.
Bado naendelea sijamalizana nayo.
Gearbox haina fault yoyote.
Mie nina Porsche Panamera sitaki tu KikiBongo ukisikia Porsche ujue tu Ni Cayenne na hapa utakuta Ni zile za 3.2l(petrol),3.6l(petrol)na 3.0l(diesel)turbocharge,zile za 4.5L V8,4.5L TT V8 Turbo,4.8L V8 Ni za kuhesabu , Porsche nyingine Ni boxster,hizo ndio Porsche za wanyonge hapa bongo.