Kusema ukweli kutokana na uzoefu wangu mdogo, watu wengi Minazini wanaosema wanafanya ecu programming ni wazinguaji sana. Kazi zenyewe wanatoza bei kubwa kuliko uhalisia. Halafu kazi hawafanyi sahihi. Nina experience na ‘mafundi’ watatu ambao walinitoza bei kubwa, na mara zote walishindwa kazi. Ni ‘mafundi’ wakubwa hapo Darisalama.Hio gari sijui aliingia chaka wapi. Ilikuwa bomba kinoma
HatariousBongo ukisikia Porsche ujue tu Ni Cayenne na hapa utakuta Ni zile za 3.2l(petrol),3.6l(petrol)na 3.0l(diesel)turbocharge,zile za 4.5L V8,4.5L TT V8 Turbo,4.8L V8 Ni za kuhesabu , Porsche nyingine Ni boxster,hizo ndio Porsche za wanyonge hapa bongo.
Najua mzee hupendi Kiki Kama Ali Kiba 😄😄Mie nina Porsche Panamera sitaki tu Kiki
Imeua kongosho, figo, mapafu, maini na bandama kwa ujumla 🤣🤣🤣! Wajerumani najua watapita kimya kimya ila inaeleweka.Duuh kene medical field hii gari inahitaji dialysis[emoji174][emoji119]
Mi nimenunua Toyota mkononi mwa mtu ni mwaka wa 4 naumaliza siku ya leo. Saa sita usiku itatimiza mwaka wa 5 hakuna major repair zaidi ya regular kumwaga oil, filters, brakes.Bado gari nyingi ni vimeo hata hizo toyota. Kama umeshawahi kununua gari mkononi unaweza kuelewa.
Shida kubwa bado inaweza kuwa kwa mtumiaji.
Najua mzee hupendi Kiki Kama Ali Kiba 😄😄
For careless Car Owners!Toyota was made for tanzania
Tatizo ni mafundi Mkuu, German Cars zinataka shule sio kubahatisha.Ukweli usiopingika. Nina toyota moja tangu 2014 mwishoni imported from Japan mbaka leo huwa ni service tu labda control box nilibadili 2018 basi ila ni mwendo tuuu....toyota ndio gari zetu ngozi nyeusi hazsumbui sana....hata wenye pochi nene hizo british na germans znawasumbua sanaa tuu
Naunga mkono hoja, tatizo kubwa ni Watumiaji na Mafundi uchwara.Bado gari nyingi ni vimeo hata hizo toyota. Kama umeshawahi kununua gari mkononi unaweza kuelewa.
Shida kubwa bado inaweza kuwa kwa mtumiaji.
Hivi hii diagnosis unaweza kudownload hata kwenye cm wakubwa ??Kiukweli leo nimesikitika sana baada ya kukutana na gari iliyoingia nchini mwaka jana(2021), Ni zile namba D za mwisho mwisho lakini tayari ina majanga makubwa mno.
View attachment 2462509
Gari yenyewe ni Porsche Cayenne na ina Kilometre hazijafika hata laki, lakini tayari ilishaua control box (DME control unit) na wire zishakatwakatwa (Labda hii ndio sababu).
View attachment 2462512
Tumezoea kwenye gari zingine za kijerumani Control Box zinakufa na maji, mtu anaenda kurekebisha gari, ikishafunguliwa sehemu ya Control box wakirudisha hawarudishi na raba au wanarudisha vibaya. Baada ya muda kwisha habari yake.
Lakini hii gari control box yake iko sealed sana. Sijui waliipigisha shoti. Sijui.
Gari inapendeza nje bodi halina hata mkwaruzo ila faults za kutosha baada ya kuifanyia diagnosis. Zaidi ya fault 60.
View attachment 2462514
Kusema ukweli shida siyo gari, Ila shida ni sisi ngozi nyeusi. Kuna mtu yupo humuhumu JF ana Porsche Cayenne namba C lakini hajawahi pata major issues.
View attachment 2462519
Kwa Diagnostic na Repair ya gari ndogo kampuni yoyote 0621 221 606 au 0688 758 625.
Nipo Dar.
Kiukweli leo nimesikitika sana baada ya kukutana na gari iliyoingia nchini mwaka jana(2021), Ni zile namba D za mwisho mwisho lakini tayari ina majanga makubwa mno.
View attachment 2462509
Gari yenyewe ni Porsche Cayenne na ina Kilometre hazijafika hata laki, lakini tayari ilishaua control box (DME control unit) na wire zishakatwakatwa (Labda hii ndio sababu).
View attachment 2462512
Tumezoea kwenye gari zingine za kijerumani Control Box zinakufa na maji, mtu anaenda kurekebisha gari, ikishafunguliwa sehemu ya Control box wakirudisha hawarudishi na raba au wanarudisha vibaya. Baada ya muda kwisha habari yake.
Lakini hii gari control box yake iko sealed sana. Sijui waliipigisha shoti. Sijui.
Gari inapendeza nje bodi halina hata mkwaruzo ila faults za kutosha baada ya kuifanyia diagnosis. Zaidi ya fault 60.
View attachment 2462514
Kusema ukweli shida siyo gari, Ila shida ni sisi ngozi nyeusi. Kuna mtu yupo humuhumu JF ana Porsche Cayenne namba C lakini hajawahi pata major issues.
View attachment 2462519
Kwa Diagnostic na Repair ya gari ndogo kampuni yoyote 0621 221 606 au 0688 758 625.
Nipo Dar.
KisaIzo Cayenne za 2004-5 sijui zina CIF ndogo kama IST.
katika ushauri naweza mpa mtu ni asinunue used Germany car yenye umri zaidi ya 10 years.
Mi nimenunua Toyota mkononi mwa mtu ni mwaka wa 4 naumaliza siku ya leo. Saa sita usiku itatimiza mwaka wa 5 hakuna major repair zaidi ya regular kumwaga oil, filters, brakes.
Hiyo Cayenne ni Second Gen mkuu.Izo Cayenne za 2004-5 sijui zina CIF ndogo kama IST.
katika ushauri naweza mpa mtu ni asinunue used Germany car yenye umri zaidi ya 10 years.
Izo Cayenne za 2004-5 sijui zina CIF ndogo kama IST.
katika ushauri naweza mpa mtu ni asinunue used Germany car yenye umri zaidi ya 10 years.
Uko sahihi mkuu, tatizo wabongo ujamaa wa nyerere umetuathiri sana in such a way thinking yetu ni collective thinking na sio independent thinking, sasa hivi kila mtu utamsikia eti bora Toyota kuliko gari ya Mzungu, wakati hizo Toyota wanazoziona cheap kuzitunza ni za zamani sana. Toyota latest Car haina tofauti na gari ya Mzungu.Unataka kunambia hizi BMW,Mercides zilizojaa road hazifai? Mbona zinadunda fresh tu
Unajua hii kauli nyepesi kuizungumza lkn uhalisia gari za kuanzia 2013 ni kitita kirefu saana mkuu
Mercedes C200 kuazia 2011 mpk kuifikisha ni ni almost 30ml sasa hapo hujagusa hizi BMW X3, VW
Kiukweli ni ngumu sana na hii si mjerumani tu hata TOYOTA gusa hizo gari za kuanzia 2013 uone bei
Nazani kikubwa ni elimu na uelewa
Fanya research kabla ya kununua,ujue engine code na common problem ya gari husika
Uko sahihi mkuu, tatizo wabongo ujamaa wa nyerere umetuathiri sana in such a way thinking yetu ni collective thinking na sio independent thinking, sasa hivi kila mtu utamsikia eti bora Toyota kuliko gari ya Mzungu, wakati hizo Toyota wanazoziona cheap kuzitunza ni za zamani sana. Toyota latest Car haina tofauti na gari ya Mzungu.
911 zote ni mwisho wa maelezoyoooooo, papiriiipapiriiii... na mwaka huu naongeza 911
Magari ya sasa yote ni same tuUko sahihi mkuu, tatizo wabongo ujamaa wa nyerere umetuathiri sana in such a way thinking yetu ni collective thinking na sio independent thinking, sasa hivi kila mtu utamsikia eti bora Toyota kuliko gari ya Mzungu, wakati hizo Toyota wanazoziona cheap kuzitunza ni za zamani sana. Toyota latest Car haina tofauti na gari ya Mzungu.