Mbona huku nje tunayo na hata haziharibiki zaidi ya kuipeleka mara moja kwa mwaka MOT na kama kuna adjustments ndogo ndogo ila kwa mtu muelewa au wakala wa gari uliyonayo
Kwa wakala wao ni ghali sana kwa hiyo hata local garage wanatengeneza vizuri tu
Tatizo ni mafundi wa huko ujuaji mwingi sana na sio mafundi tu kila mmoja ni mjuaji
Mkuu kama hakuna fundi wa maana bora unaingia gharama na kuipeleka Nairobi