Jamani mnaingizaje hela kwa siku? Tupeane hiyo michongo

Mimi naamini silaha kubwa walionayo matajiri ni guts, bhaasi....hizi nyingine ni porojo tu
 
Kwa kweli NI fumbo.
 
"Do what you love do as you die" mj Demarco the writer of millionaire fast lane.
Mkubwa angalia market inapenda Nini sio wewe unapenda Nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hii kauli "angalia market inapenda nini sio wewe unapenda nini" ni fikirishi sana na ipo relevant sana kwa kila mwenye kufikiria mambo kwa kina..🙌
 
Mnamtolea vipi mfano mo!? Mo hajui shida naa haso hajwah kuish kitaa waliotoboa babu zake yeye anatumia tu
 
Hata kuendeleza tu pesa ni kipaji mkuu mwingne ukimuachia hapa million 50 baada ya miaka kumi utamkuta Hana hata Mia
Miaka kumi mingi mkuu, Miezi mitatu tu inakua imeshapukutika Yote,
 
Good idea but usiwe mvivu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Michongo mizuri na ya uhakika ipo kwenye kilimo.
 
Hii ni Comment yangu niloandika “Feb 2020”

Nashkuru Mungu leo “May 2022” niko mzima wa Afya

Kuna Siku nikitulia nitakuja niwape watu Ideas za kujiingizia kipato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…