Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Watu kama Tundu Lisu, wangekuwa nchi ambazo hazina uchawa angepewa phd ya heshima, huyu ni tunu ya Taifa, kichwani yupo vzr, lugha yupo vzr sana, speaking skills yupo vzr sana huyu ni hazina ya taifa letu pendwa la Tanzania.
Leo kamchambua Mwl NYERERE katika harakati za kuleta ukombozi kusini mwa jangwa la sahara, wazungu na wasomi mbalimbali katika chuo kikuu cha Makerere wamebaki wanatikisa kichwa tu!
Mungu mbariki Tundu antipas Lisu aishi miaka Mingi by mwinjilist wenu Gabeji.