Jamani mpeni Tundu Lissu PHD ya heshima jinsi alivyomwelezea vizuri Mwalimu Nyerere huko Uganda

Jamani mpeni Tundu Lissu PHD ya heshima jinsi alivyomwelezea vizuri Mwalimu Nyerere huko Uganda

Hizo PhD zimeshusha hadhi hadi wanapewa kina SSH, Babu Tale, Msukuma
Hivi Kasheku Msukuma au Samia Suluhu Hassan a.k.a Chura Kiziwi wangekuwa sehemu ya darasa hili, wanasikiliza hii lecture wangekuwa hata wanaelewa kweli?

Wangeweza kuchukua notes kweli maana nikiwatazama tu, sioni kama kuna akili za kuweza kunasa na kukamata haya zaidi ya akili za kufunga ushungi na kuvaa suti za mtumba..🫣🫣
 
🤣🤣🤣🤣 Lissu ni mashine kweli.

Naiangalia CCM na Viongozi wake wote sioni mtu wa kumfikia hata robo Tundu Lissu kwa uwezo wa kiakili na maarifa.

Alafu nikiwaza Lissu sio kiongozi naelewa kwa nini nchi yetu ni masikini.
Nadhani kidogo Prof Kabudi Palamagamba, January Makamba na Humphrey Polepole...

Hawa jamaa watatu wako vizuri kichwani.

Ni kwa sababu tu wako ndani ya mfumo corrupt wa CCM ndio maana wanaonekana wajinga...

Tukubali tu kuwa, CCM ni mfumo ambao unaharibu akili na ufahamu wa vijana wengi kwa faida ya vitu vya mwilini zikiwemo pesa....

Lakini kuna fisadi wa elimu mmoja, mwizi wa mitihani na mnunua vyeti vya watu wengine aitwaye Paul Christian Makonda a.k.a Albert Bashite Malyangili hujaribu kujilinganisha na Tundu Lissu na siku moja eti akaropoka tu kuwa ndiye aliyemfundisha siasa Tundu Lissu

Haa haa 🤣🤣🤣, Makonda kituko kwelikweli...
 
Lakini alishawahi kumkashifu
Hata leo nimemsikiliza, naweza (mimi) kusema katika speech yake, 60% amemchana Nyerere na 40% ndio amemsifia. Ametaja mambo mazito hadi nikawaza sijui m7 atamuachia tu kidiplomasia au ataamua ampe msukosuko. Kuna kipindi aliliponda jeshi la Uganda hadi nikaona kimemo kinapelekwa kule mbele kwake
 
This guy is a great asset for Tanganyika....

After listening his lecture from the beginning to the end, I must aknowledge that Tundu Lissu deserves to be a fully political lecturer in any great credentially recognized university in the world...

🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Lissu ni zawadi watanzania Mungu katupatia. Sio mwanasiasa wa kawaida kulinganisha na wengine.
 
Nadhani kidogo Prof Kabudi Palamagamba, January Makamba na Humphrey Polepole...

Hawa jamaa watatu wako vizuri kichwani.

Ni kwa sababu tu wako ndani ya mfumo corrupt wa CCM ndio maana wanaonekana wajinga...

Tukubali tu kuwa, CCM ni mfumo ambao unaharibu akili na ufahamu wa vijana wengi kwa faida ya vitu vya mwilini zikiwemo pesa....

Lakini kuna fisadi wa elimu mmoja, mwizi wa mitihani na mnunua vyeti vya watu wengine aitwaye Paul Christian Makonda a.k.a Albert Bashite Malyangili hujaribu kujilinganisha na Tundu Lissu na siku moja eti akaropoka tu kuwa ndiye aliyemfundisha siasa Tundu Lissu

Haa haa 🤣🤣🤣, Makonda kituko kwelikweli...
Wote hao hamna anayemfikia Lissu.

Kabudi angekuwa anasimamia ukweli at least ila hao Makamba na Polepole ni watu wanaojua kupiga mdomo tu. Hawana smartness yeyote ile.
 
Watu kama Tundu Lisu, wangekuwa nchi ambazo hazina uchawa angepewa phd ya heshima, huyu ni tunu ya Taifa, kichwani yupo vzr, lugha yupo vzr sana, speaking skills yupo vzr sana huyu ni hazina ya taifa letu pendwa la Tanzania.

Leo kamchambua Mwl NYERERE katika harakati za kuleta ukombozi kusini mwa jangwa la sahara, wazungu na wasomi mbalimbali katika chuo kikuu cha Makerere wamebaki wanatikisa kichwa tu!

Mungu mbariki Tundu antipas Lisu aishi miaka Mingi by mwinjilist wenu Gabeji.
Lissu huyu huyu Tundu? Huyu anayemchukulia Baba wa Taifa Mwalimu na Mzee Karume kirahisi?: Basi huyu jamaa ana 'vichwa viwili!'
 
Watu kama Tundu Lisu, wangekuwa nchi ambazo hazina uchawa angepewa phd ya heshima, huyu ni tunu ya Taifa, kichwani yupo vzr, lugha yupo vzr sana, speaking skills yupo vzr sana huyu ni hazina ya taifa letu pendwa la Tanzania.

Leo kamchambua Mwl NYERERE katika harakati za kuleta ukombozi kusini mwa jangwa la sahara, wazungu na wasomi mbalimbali katika chuo kikuu cha Makerere wamebaki wanatikisa kichwa tu!

Mungu mbariki Tundu antipas Lisu aishi miaka Mingi by mwinjilist wenu Gabeji.
Wakati lissu anagombea urais wa TLS , yupo mwanasheria aliniambia kwamba wakati lissu anaomba kura alipiga yai sio la Dunia hii, sasa leo alicho kifanya Makerere , ametubeba watz kwamba sisi watz sio vilaza ,tuache uchawa lissu anastahili asilimia 1000 kuwa rais wa Tz, hakuna cha Trap na Trat hapa.

Mzee wasira ,makala na safu yenu ya ccm lissu sio mwenzenu na mkome mtajataja kwenye midomo yenu sawa
 
Alisema au hakusema?
Kama ungesikiliza ungemwelewa Lissu alichozungumza maana kaweka strength na weakness yani kasimamia msimamo wake uleule JKN hakuwa malaika na ni binadamu kama ile speech uli quote kwenye bunge la katiba kaendeleza alipoishia sasa ile watu walisema kamtukana JKN na hii pia isikilize halafu uje u comment tena.
 
Back
Top Bottom