Jamani mpeni Tundu Lissu PHD ya heshima jinsi alivyomwelezea vizuri Mwalimu Nyerere huko Uganda

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1,530
Reaction score
1,903
Watu kama Tundu Lisu, wangekuwa nchi ambazo hazina uchawa angepewa phd ya heshima, huyu ni tunu ya Taifa, kichwani yupo vzr, lugha yupo vzr sana, speaking skills yupo vzr sana huyu ni hazina ya taifa letu pendwa la Tanzania.

Leo kamchambua Mwl NYERERE katika harakati za kuleta ukombozi kusini mwa jangwa la sahara, wazungu na wasomi mbalimbali katika chuo kikuu cha Makerere wamebaki wanatikisa kichwa tu!

Mungu mbariki Tundu antipas Lisu aishi miaka Mingi by mwinjilist wenu Gabeji.
 

View: https://www.youtube.com/live/7jyAxm-Q1Sg?si=342Ut5bVSN6tJLZP
 
Hizo PhD zimeshusha hadhi hadi wanapewa kina SSH, Babu Tale, Msukuma
 
Kuna PHD za Machawa. Mtu waziri full time anasoma PHD!!!! kumbe wanaandikiwa mpaka PHD ndiyo maana ni vilaza
 
Lakini alishawahi kumkashifu
 
On the other hand, Jamaa kumuelezea Nyerere namna alivyoiharinu Demokrasia na kuzalisha Kizazi Cha Utawala wa Kiimra.

Huyu LISSU aachwe tu awe Lissu
 
On the other hand, Jamaa kumuelezea Nyerere namna alivyoiharinu Demokrasia na kuzalisha Kizazi Cha Utawala wa Kiimra.

Huyu LISSU aachwe tu awe Lissu
🀣🀣🀣🀣 Lissu ni mashine kweli.

Naiangalia CCM na Viongozi wake wote sioni mtu wa kumfikia hata robo Tundu Lissu kwa uwezo wa kiakili na maarifa.

Alafu nikiwaza Lissu sio kiongozi naelewa kwa nini nchi yetu ni masikini.
 
Kama siyo kihiyo, si asomee au unataka ajigeuze kilaza kama akina Msukuma, Sa100, Kiwete, na wengine?
 
Sasa ndio anajifanya anamuheshimu Nyerere wakati alishasema Mwalimu alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu? Sitoshangaa siku akianza kumsifia Magufuli ha ha ha😎
 
Lakini alishawahi kumkashifu
we kichaa tuambie lissu alimkashifuje mwl zaid ya kuusema ukweli khs muungano wa kpumbavu aliotuingza mwl, zaid kusema katiba ya kpumbavu aliyotuachia mwl na haya yote lissu aliyasema wkt wa bunge la katiba ya warioba clip youtube zpo mbuzi wewe sjui matakataka ya maccm mna akili gn aisee hv kichwa kama lissu kuna wa kumlinganisha naye huko ccm kama yupo mtajeni
 
This guy is a great asset for Tanganyika....

After listening his lecture from the beginning to the end, I must aknowledge that Tundu Lissu deserves to be a fully political lecturer in any great credentially recognized university in the world...

πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…