Toa mke na hawara mwanaume furaha yake hukamilika anapokuwa sehemu ya kumrembesha mwanamke na kumfanaya awe na furaha.Mkeo na hawara how much unawapa per month
Field sijapata nimetafuta wee mpaka basi sasa nitafanya nn mkuu πππWe dogo tumia akili!
Mzee soma iyo Post ake utuambie umeelewa nnni nini tena SweetyCandy usiku huu
Am warmly waitingAIsee sawa
Naona Somo limeelewekani nini tena SweetyCandy usiku huu
Kumbe kibungo!Humu wengi wanachekesha, jameni mjue kuwa nyie hampo serious kweli mnaamini picha za avatar. Haya basi kama mnataka mtu awe utakavyo siunagharamia sasa mtu kafikia alipofikia ubashangaa what niwewe ,?? Eh kwani nimegharamiwa ili nipendeze what if naona mi nilivyo nipo sawa.
Hi sio facebook unaweka real life . Hii ni jamii forum unaweka picha uipendayo na sio wewe ni umeipata tu huko so msi kariri maisha.
ππππππππππππKumbe kibungo!
Hatari mkuu,,huyo avatar niwewe?Noma sana
ndio nafanya practice ππNaona Somo limeeleweka
πππ
Naona umekuwa kama raraa reree na wew ili uanzishiwe Mada ni mwendo wa kulike tu eti eehππ
Hahahaha ππππ
Naona umekuwa kama raraa reree na wew ili uanzishiwe Mada ni mwendo wa kulike tu eti eehππ
Bas inatosha kijanaπ€£ndio nafanya practice ππ
Hahahaha πNyamwi255 siuolewe tu na raraa reree mnaboa kwa like
kivumbi leo πππBas inatosha kijanaπ€£
Unaenda kuwaambia nn chuoni?Field sijapata nimetafuta wee mpaka basi sasa nitafanya nn mkuu πππ