Jamani muwe serious basi

Jamani muwe serious basi

Humu wengi wanachekesha, jameni mjue kuwa nyie hampo serious kweli mnaamini picha za avatar. Haya basi kama mnataka mtu awe utakavyo siunagharamia sasa mtu kafikia alipofikia ubashangaa what niwewe ,?? Eh kwani nimegharamiwa ili nipendeze what if naona mi nilivyo nipo sawa.

Hi sio facebook unaweka real life . Hii ni jamii forum unaweka picha uipendayo na sio wewe ni umeipata tu huko so msi kariri maisha.
Kumbe kibungo!
 
Mh! Ila DP yako yamoto mkuu, yamkini ndio maana unatembelewa sana 😂😂
 
Back
Top Bottom