JAMANI Mwanafunzi Mwenzenu Naomba Ushauri.

JAMANI Mwanafunzi Mwenzenu Naomba Ushauri.

ndo mana nchi yetu haindelei kwa sababu ya wataalamu feki kutokana watu wanagraduate na alama nzuri afu tena za kuhongwa kwa rushwa ya ngono,kitu kingine mtoa uzi unaonekana ni mtanzania mwenye asili ya malawi ambae unaringana na Banda Joyce,ww na prof afu joyce banda na david cameroon,na usirudie upumbavu wako wa kutoa thread ambao haina umuhimu wote humu jf
You got a point! but I've nothing to do with Malawi,The Banda's and Cameron and you failed to advise me as well.
 
duh umeidhalilisha damu ya yesu.kama vipi akuoe tu kwani ashakuvuruga.kama humpendi mrudishie hela zake na vitu vyake vyote alivyokununulia,kikiwemo na kiwanja.Tamaa zako zimekuponza.mnapenda majibaba.kudisco sio issue si unajiweza hama chuo.
Got you but why involve Jesus in this? He is married already, all I have is my money that's all, the plot plus my car is registered with my name, got no lust on this am just human and played my feelings, remember University is not a place you can just move from place to place like secondary school.
 
Wala mama hajafaulu. Huyo wa benin si mswahili mmatumbi? Angeweka nywele za singa nyumba nzima ndo ingekuwa bomba. Sie kwetu umasaini tunaruhusu hata kuchakachua ili chungu ikivunjwa usiishe ukoo mzima. Hawa wakilogwa waingereza wengine wawili wanabaki hehehe
mi nimempenda mama yako...kazaa na watu wa ukweli balaa!
 
But we love our black brother he's very funny!
Wala mama hajafaulu. Huyo wa benin si mswahili mmatumbi? Angeweka nywele za singa nyumba nzima ndo ingekuwa bomba. Sie kwetu umasaini tunaruhusu hata kuchakachua ili chungu ikivunjwa usiishe ukoo mzima. Hawa wakilogwa waingereza wengine wawili wanabaki hehehe
 
Hivi familia ambayo kila mtoto ana baba yake ni familia bora? nimeshangaa sana!
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21, nasoma mwaka wa 3 kwenye chuo kikuu kimoja cha hapa mjini, nafanya shahada ya miaka minne, nimezaliwa na kukulia kwenye familia bora, tumezaliwa wanne na mimi ni wa mwisho, kaka zangu wawili wamezaliwa na Baba kutoka Uingereza, kaka yangu ninayemfuata amezaliwa na baba toka Benin, na mimi Baba yangu ni Myahudi raia wa Israel, wote Mama na ndugu zangu wako nje ya Nchi na Mama anafanya kazi shirika la chakula duniani Nchini Italy, nimebahatika kusoma nje lakini muda mwingi wa makuzi nilikuwa na bibi yangu hapa Tanzania, wakati nikiwa mwaka wa kwanza semester ya pili nilifeli kozi moja amabayo hata sikuitegemea na wenzangu walinishangaa richa ya uwezo wangu mkubwa wa kiakili (Mimi ni mchanganyiko wa myahudi na Mchaga), katika kufeli nililazimika kuirudia nikiwa mwaka wa pili, kwa bahati nzuri nikaiondoa, lakini katika hilo Professor aliekuwa ananisimamia hiyo kozi alianza kunitaka kimapenzi nami kwa juhudi kubwa nilimkatalia, lakini kwa vile nilikuwa najua kuna mahusiano makubwa kwanini nilifeli mwaka wa kwanza na Prof kuanza kunifatilia niliisoma hiyo hali nikajenga mazoea na yeye, mpaka akajua tayari nimeisha ingia kwenye mstari wake, alianza kwa kunipigia sana simu zisizo na idadi tena kwa number tofauti na mpaka leo sijui number yangu aliitolea wapi, alinitaka mara kibao tutoke lakini nilimkatalia mpaka wakati fulani nikamtania kama anataka kutoka na mimi basi labda twende nje ya Nchi, baada ya majuma kadhaa aliniita nikamkuta kwenye ofisi yake ya mjini ambapo alinionyesha bahasha tatu, mbili zikiwa na tiketi mbili za Ndege, moja ikiwa na jina lake na nyingine majina yangu kamili, na bahasha ya tatu ikiwa na fedha ambazo baadae nilizihesabu zilikuwa ni zaidi ya 1.5M maana asubuhi yake nilimwambia kwa utani nina shida ya kifedha, na akaniambia ametimiza matakwa yangu ya kutoka nje ya Nchi, kiufupi nilishindwa kumkatalia nikakubali siku ya siku Alhamisi tulisafiri kwenda kwenye mji mkuu mmoja maarufu hapa Africa, tulifikia hotel ya 5 star, baadae niligundua kwamba alikuwa na mhadhara Jumamosi kwenye chuo fulani maarufu kwenye hio Nchi na Africa, tuliongea sana katika safari hiyo akinieleza matatizo yake hasa ya kifamilia na mkewe (ameoa na ana watoto wawili) akisema yeye ni mtu tajiri lakini hana raha kabisa, wakati tukienda huko niliamua kwamba sitofanya nae mapenzi, tulifika mapema kabla ya asubuhi, tulienda kwenye maduka makubwa akaninunulia vitu vingi, a really smart phone, smart Ipad, nguo nyingi nzuri zikiwamo za ndani akinichagulia mwenyewe, viatu, mikoba, saa, mikufu, pete kila kitu, nahisi kabisa ile shoping iligharimu karibu 5M, tulienda migahawa mizuri sana hata wakati nikihisi nimeshiba sana, siku hiyo nililala peke yangu usiku wa Alhamis, Ijumaa alikuwa busy anaandaa presentation yake ingawa baadae tulienda kupima UKIMWI kwani alihisi mimi namuogopa kwa sababu hiyo kwenye crinic moja kubwa kwenye jiji hilo, na jumamosi alienda kupresent ambapo alirudi akiwa amefurahi sana kwamba amefanya vizuri katika hiyo presentation na watu wamemsifu sana, akaniambia tutoke kwani alikuwa amealikwa na marafiki zake chakula cha usiku baadae tulienda na alinitambulisha kama girlfriend wake kutoka Israel, tulikutana na watu wa Uganda na Kenya mahali hapo nilijifanya sizungumzi kabisa Kiswahili, ila kwa bahati nzuri nina accent ya kiingereza, tulikunywa na kulewa sana, tukarudi hotelini kwetu baadae ambapo kwakweli sikuwa na akili yangu nilifanya nae mapenzi usiku wote, tulirudi Nchini nikiwa mtu tofauti mwenye mawazo kidogo lakini sikuwa na wasiwasi.... nimekutana nae mara kadhaa hapa mjini na nje ya Nchi mara kadhaa tena, ni mtu msomi mwenye mialiko mingi ya kimataifa kila akiwa na safari ya mbali lazima twende wote mara mbili tumeenda wote Ulaya, na sasa ameniambia anataka twende tena huko mbali, amenibadilishia gari langu.... na nimerekebisha kidogo moja ya Nyumba za familia yangu ambayo ndio ninayoishi na sehemu nyingine nimerent, na bado ananipa kiwango kikubwa cha fedha nimenunua uwanja, nimefungulia biashara zangu tatu amabazo hazijui....kinachonisumbua yeye ni mume wa mtu mwingine, bababa wa watoto wake, nami ni mwanafunzi binti mdogo, natamani kuwa na msomi wa kariba yangu... nilikuwa na mtu mwanafunzi wa Chuo kingine tuliachana kwa sababu alikuwa mkali, mwenye wivu, na mlalamishi... naogopa nikimuacha itakuaje, nikimkatalia kuna hatari akatufundisha tena mwaka wa nne kwani ndie mtaalamu wa fani hiyo kwenye kitivo na anasifika kwa kudaka vichwa hasahasa finals...nimechanganyikiwa naomba ushauri wenu, nina akili zangu timamu, najua kwamba nilishindwa kusimamia maadili yangu vizuri hapo katikati lakini naamini kwamba nilianguka na naweza kusimama, nina uwezo wa kiuchumi wa kujisimamia na kutumia, hata favors zake ni nyogeza tu ya kutumia zaidi natanguliza samahani kwa watakaokerwa ntazingatia ushauri wenu. (imetafasiriwa kutoka kwenye lugha ya Kiingereza kwa msaada wa rafiki)

kwanza nakupa pole sana bimdash, ila du nimeamini mtoto wa nyoka ni nyoka manaake nimegundua kuwa hata mother ako alikuwa anauza mechi ovyo ovyo, pia yawezekana na wewe tabia yako ni hiyo hiyo tena ulikuwa unamkalia vibaya prof class ndo maana akakutamani sasa sijui unaomba ushauri wa nini na akati mtego wako umenasa.

pili usiwe na dhana potofu kuwa wayahudi hawawezi kamatwa,sasa uyahudi wako haunihakikishii kuwa unaakili nyingi sana, bali wewe ni mtu wa kawaida na unaweza ukashikwa vile vile kwani mitihani haiangalii origin ya mtu.

tatu zaa nae tu kwani wewe utakuwa sio wa kwanza kufanya hivyo mtafute JACQ atakuambia alianzaje, ili mtoto wako akizaliwa aje amwite baba yake BABU.

Nne usianze kutamani vijana wa watu saivi coz si uliona dili kuwa na lizee hilo usije ukaleta majanga kwa watoto wa watu,tumechoka kusikia watu waking'olewa kucha saivi,usitupotezee vijana wetu endelea na huyo babu bibie.

Mwisho JF members wote sio wanafunzi.
 
Got you but why involve Jesus in this? He is married already, all I have is my money that's all, the plot plus my car is registered with my name, got no lust on this am just human and played my feelings, remember University is not a place you can just move from place to place like secondary school.

Shit, do you think that is money? kweli we janga la taifa...........
 
duh we endelea nae jamaa anaonesha ana nia nzuri tu unaeza kuwa mke wa pili ao mbaya:screwy::banghead:😡
 
kwanza nakupa pole sana bimdash, ila du nimeamini mtoto wa nyoka ni nyoka manaake nimegundua kuwa hata mother ako alikuwa anauza mechi ovyo ovyo, pia yawezekana na wewe tabia yako ni hiyo hiyo tena ulikuwa unamkalia vibaya prof class ndo maana akakutamani sasa sijui unaomba ushauri wa nini na akati mtego wako umenasa.

pili usiwe na dhana potofu kuwa wayahudi hawawezi kamatwa,sasa uyahudi wako haunihakikishii kuwa unaakili nyingi sana, bali wewe ni mtu wa kawaida na unaweza ukashikwa vile vile kwani mitihani haiangalii origin ya mtu.

tatu zaa nae tu kwani wewe utakuwa sio wa kwanza kufanya hivyo mtafute JACQ atakuambia alianzaje, ili mtoto wako akizaliwa aje amwite baba yake BABU.

Nne usianze kutamani vijana wa watu saivi coz si uliona dili kuwa na lizee hilo usije ukaleta majanga kwa watoto wa watu,tumechoka kusikia watu waking'olewa kucha saivi,usitupotezee vijana wetu endelea na huyo babu bibie.

Mwisho JF members wote sio wanafunzi.

A JEW! A HEBREW, ISRAELITE!!!

1.Man you should mind your language, because you words speaks your mind, my mother is a decent caring mother, a rich woman, self sufficient and a person who matters, she committed no offence to go around with different men, I behaved in a very responsible way but it was simply life.
2. Never mess with the JEWS or else you will perish, I am of the opinion that Jews are intellectually superior. I know that some of you would counter that intelligence pertains to individuals, not to race.

However, if you look at some indicators, the evidence tend to show otherwise.

About 25% of Nobel Prize Awards were given to Jews from various fields of endeavor. Every year, there is always a Jew that earns a Nobel Prize, particularly from Academic pursuits. With a population of only 13 million, the nation of Israel has produced 179 Nobel Prize Laureates. It has the highest number of Nobel Prize Awards per capita in the world. Included in the list is 2009 Nobel Prize awardee in Chemistry, Ada Yonath.

A nation that has been built on sand dunes is at the forefront in scientific research. For example Windows XP, almost in its entirety, was developed by Microsoft Israel.

The tiny nation of Israel has produced intellectual giants such as Albert Einstein, Karl Marx, Bill Gates, Enrico Femi, Michael Faraday, Thomas Edison, Henry Ford Sigmund Freud etc. In the Arts there's Steven Spielberg, Barbara Streisand, Dustin hoffman. In Finance, there's Allan Greenspan, Ben Bernanke, George Soros etc. Successful Corporations in America and Europe are owned by Jews.

The intellectual landscape of the 20th Century was dominated by Jewish authors and thinkers.

Moreover, Israel has achieved the status of a first world in just a few decades. A feat that many other countries have been trying for centuries without success.
3. I will think about your advise, and who is JACQ I don't get you really.
4. As a human being I have the right to LOVE
 
kwanza nakupa pole sana bimdash, ila du nimeamini mtoto wa nyoka ni nyoka manaake nimegundua kuwa hata mother ako alikuwa anauza mechi ovyo ovyo, pia yawezekana na wewe tabia yako ni hiyo hiyo tena ulikuwa unamkalia vibaya prof class ndo maana akakutamani sasa sijui unaomba ushauri wa nini na akati mtego wako umenasa.

pili usiwe na dhana potofu kuwa wayahudi hawawezi kamatwa,sasa uyahudi wako haunihakikishii kuwa unaakili nyingi sana, bali wewe ni mtu wa kawaida na unaweza ukashikwa vile vile kwani mitihani haiangalii origin ya mtu.

tatu zaa nae tu kwani wewe utakuwa sio wa kwanza kufanya hivyo mtafute JACQ atakuambia alianzaje, ili mtoto wako akizaliwa aje amwite baba yake BABU.

Nne usianze kutamani vijana wa watu saivi coz si uliona dili kuwa na lizee hilo usije ukaleta majanga kwa watoto wa watu,tumechoka kusikia watu waking'olewa kucha saivi,usitupotezee vijana wetu endelea na huyo babu bibie.

Mwisho JF members wote sio wanafunzi.
I targeted the students, so it was none of your business
 
Back
Top Bottom