Jamani mwanaume Msafi anavutia asikwambie mtu

Duuuh ulivyoanza nikajua LGBT....
Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.

Sio mkaka unanuka mijasho all time halafu makwapa meusiii tiii sasa hapo utapataje pisi kali mmh. Ebu wakaka mjitahidi kuwa wasafi eti mnakera hata wauza mikaa na fund gereji hili linawahusu eti msijichetue hapa. Ukitoka kwenye kazi zako oga vzr pendeza

Wanaume wasafi wataendelea kuchukua wake zenu mpaka mkome mbona. Nawapenda wadada wote mnaonipenda Kwa usafi niliona ndio mana hapa kitaa natafuna pisi kali hatari
Binafsi sio shida kumsifia mwanaume mwenzako, ni bora umesema siri za kambi ili wanaume wajifunze
 
Huyu jamaa analazimisha sana kutafuta kiki humu Jamiiforums...niliwahi kumwambia kwenye thread fulani kuwa umaarufu wa JF huwa unakuja tu automatic sio kulazimisha
Hvi umaarufu wa jf una faida zip?
 
Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.

Sio mkaka unanuka mijasho all time halafu makwapa meusiii tiii sasa hapo utapataje pisi kali mmh. Ebu wakaka mjitahidi kuwa wasafi eti mnakera hata wauza mikaa na fund gereji hili linawahusu eti msijichetue hapa. Ukitoka kwenye kazi zako oga vzr pendeza

Wanaume wasafi wataendelea kuchukua wake zenu mpaka mkome mbona. Nawapenda wadada wote mnaonipenda Kwa usafi niliona ndio mana hapa kitaa natafuna pisi kali hatari
Sasa itakuaje hapa
 
Safi pesa tu hata ikitua kwenye kinyeshi inaokotwa. Mwanaume kupendeza ni matumizi mabaya ya muda. Ukiwa na pesa utakula sample kibao ambazo hao watanashati awafiki
 
Back
Top Bottom