cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Mie ni Katibu Muenezi wa Alphabet Barani Africa.Dah! Basi nikutakie tu maisha mema katika hayo maisha yako mapya uliyo jichagulia mwenyewe.
Jitahidi pia uwasiliane na huyu binti cocastic, ambaye ni mtetezi wenu humu jukwaani, ili akupe mwongozo wa namna bora ya kupambana dhidi ya unyanyapaa.
Kadi zipo za kushato, km kuna wanachama wapyaa niletee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila waja mnayawezaaa.