Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #21
Sasa una maana gnHapana, mimi na uchafu tofauti [emoji1785]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa una maana gnHapana, mimi na uchafu tofauti [emoji1785]
Scola wewe aya Dada anguuHuyu kaka kuna kitu hakiko sawa kichwani nadhani anapambana sana ila hapati mafanikio,anawehuka huyu
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
🤣 🤣 🤣. Kuna nn tena mbona nabagazwa?Una nini siku hizi mkuu, umekuwa Sexless ?
Sasa nimegundua siri ya kwa nini ulikuwa unawachukia sana walimu!! Madhara waliyokusababishia wakati ulipokuwa mwanafunzi ndiyo haya sasa!! Yameanza kuonekana hadharani.Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.
Sio mkaka unanuka mijasho all time halafu makwapa meusiii tiii sasa hapo utapataje pisi kali mmh. Ebu wakaka mjitahidi kuwa wasafi eti mnakera hata wauza mikaa na fund gereji hili linawahusu eti msijichetue hapa. Ukitoka kwenye kazi zako oga vzr pendeza
Wanaume wasafi wataendelea kuchukua wake zenu mpaka mkome mbona. Nawapenda wadada wote mnaonipenda Kwa usafi niliona ndio mana hapa kitaa natafuna pisi kali hatari
I repeat one man down 👎 overOne Man down
Mpwayungu Village anaanza kukuiga mkuu🤣 🤣 🤣. Kuna nn tena mbona nabagazwa?
Daah mtupe pole, kambi ya kiumeni inashambuliwa kila sikuOne man down
NAUNGA MKONO HOJAUnaipoteza heshima uliyoijenga humu, tumezoea kukuona ukizozana na Waalimu na bata zako za 3 stars ila huko unapoenda sasa siko, muachie cocastic mamaa mwenye tashtiti zake mjini JF.
Duuuh ulivyoanza nikajua LGBT....Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.
Sio mkaka unanuka mijasho all time halafu makwapa meusiii tiii sasa hapo utapataje pisi kali mmh. Ebu wakaka mjitahidi kuwa wasafi eti mnakera hata wauza mikaa na fund gereji hili linawahusu eti msijichetue hapa. Ukitoka kwenye kazi zako oga vzr pendeza
Wanaume wasafi wataendelea kuchukua wake zenu mpaka mkome mbona. Nawapenda wadada wote mnaonipenda Kwa usafi niliona ndio mana hapa kitaa natafuna pisi kali hatari
Hivi tatizo ni nini😀😀Daah mtupe pole, kambi ya kiumeni inashambuliwa kila siku