Jamani mwanaume Msafi anavutia asikwambie mtu

Jamani mwanaume Msafi anavutia asikwambie mtu

Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.

Sio mkaka unanuka mijasho all time halafu makwapa meusiii tiii sasa hapo utapataje pisi kali mmh. Ebu wakaka mjitahidi kuwa wasafi eti mnakera hata wauza mikaa na fund gereji hili linawahusu eti msijichetue hapa. Ukitoka kwenye kazi zako oga vzr pendeza

Wanaume wasafi wataendelea kuchukua wake zenu mpaka mkome mbona. Nawapenda wadada wote mnaonipenda Kwa usafi niliona ndio mana hapa kitaa natafuna pisi kali hatari



Kitu chochote kinavutia, hata mjusi msafi anavutia.
 
@Tate Mkuu shida iko wp hapo, MIMI binafsi siwez hata kukaa na Rafik mchafu asiyeoga
Dah! Basi nikutakie tu maisha mema katika hayo maisha yako mapya uliyo jichagulia mwenyewe.

Jitahidi pia uwasiliane na huyu binti cocastic, ambaye ni mtetezi wenu humu jukwaani, ili akupe mwongozo wa namna bora ya kupambana dhidi ya unyanyapaa.
 
Back
Top Bottom