Jamani mwanaume Msafi anavutia asikwambie mtu

Jamani mwanaume Msafi anavutia asikwambie mtu

Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.

Sio mkaka unanuka mijasho all time halafu makwapa meusiii tiii sasa hapo utapataje pisi kali mmh. Ebu wakaka mjitahidi kuwa wasafi eti mnakera hata wauza mikaa na fund gereji hili linawahusu eti msijichetue hapa. Ukitoka kwenye kazi zako oga vzr pendeza

Wanaume wasafi wataendelea kuchukua wake zenu mpaka mkome mbona. Nawapenda wadada wote mnaonipenda Kwa usafi niliona ndio mana hapa kitaa natafuna pisi kali hatari
Kwa hiyo ukiona mkaka kavaa viziro smart unachanganyikiwa?

Doh
 
Huwezi ona, ni mtazamo wangu.

"Jamani, mwanaume msafi anavutia asikwambie mtu" 😅😅😅😅
Ina sound kama vile naongea na shoga yangu Evelyn Salt
Ukiachana na muundo wa ujumbe wake ulivyosukwa kike.

Kitendo cha Kuonesha kuvaa nafsi ya kuvutiwa na wanaume wasafi.
Nafkiri ndipo tatizo lilipokolezwa kiasi cha watu kuanza kumtafsiri kuwa ni Shoga.
 
Back
Top Bottom