Jamani mwanaume Msafi anavutia asikwambie mtu

Dah! Basi nikutakie tu maisha mema katika hayo maisha yako mapya uliyo jichagulia mwenyewe.

Jitahidi pia uwasiliane na huyu binti cocastic, ambaye ni mtetezi wenu humu jukwaani, ili akupe mwongozo wa namna bora ya kupambana dhidi ya unyanyapaa.
Nilikuwa nakuheshimu sana kumbe na ww una fikra potofu kiasi hiki
 
Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.

Sio mkaka unanuka mijasho all time halafu makwapa meusiii tiii sasa hapo utapataje pisi kali mmh. Ebu wakaka mjitahidi kuwa wasafi eti mnakera hata wauza mikaa na fund gereji hili linawahusu eti msijichetue hapa. Ukitoka kwenye kazi zako oga vzr pendeza

Wanaume wasafi wataendelea kuchukua wake zenu mpaka mkome mbona. Nawapenda wadada wote mnaonipenda Kwa usafi niliona ndio mana hapa kitaa natafuna pisi kali hatari
Eti nawapenda wadada wote mnaonipenda..., kumbebili jamaa shoga
 
Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.

Sio mkaka unanuka mijasho all time halafu makwapa meusiii tiii sasa hapo utapataje pisi kali mmh. Ebu wakaka mjitahidi kuwa wasafi eti mnakera hata wauza mikaa na fund gereji hili linawahusu eti msijichetue hapa. Ukitoka kwenye kazi zako oga vzr pendeza

Wanaume wasafi wataendelea kuchukua wake zenu mpaka mkome mbona. Nawapenda wadada wote mnaonipenda Kwa usafi niliona ndio mana hapa kitaa natafuna pisi kali hatari
kwani wewe huwa ni -ke?

JESUS SAVES!
 
Unaipoteza heshima uliyoijenga humu, tumezoea kukuona ukizozana na Waalimu na bata zako za 3 stars ila huko unapoenda sasa siko, muachie cocastic mamaa mwenye tashtiti zake mjini JF.
Mm naona Sawa tu kwani hata ww unapenda boyz wachafu? Hilo ni funzo kwa boyz wenye tabia kutokua wasafi binafsi hata mm sivutiwi na mdada mchafu.
 
Nilikuwa nakuheshimu sana kumbe na ww una fikra potofu kiasi hiki
Hata mimi mwenyewe umenikatisha kabisa tamaa! Nilitegemea u gekuwa mtetezi bora kabisa wa walimu! Kwa bahati mbaya umeamua kuigeukia njia nyingine kabisa!

Imagine kuna wakati eti unatamani kuwa mwanamke!! Mara huwapendi wanaume wanaonuka jasho!! Mambo gani haya!! Yaani wanaume wenzako kutwa tuko juani kutafuta, halafu unataka tuonekane smart na kunukia pafyumu!!! Umeniangusha sana mdogo wangu Mpwayungu.
 
Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.

Sio mkaka unanuka mijasho all time halafu makwapa meusiii tiii sasa hapo utapataje pisi kali mmh. Ebu wakaka mjitahidi kuwa wasafi eti mnakera hata wauza mikaa na fund gereji hili linawahusu eti msijichetue hapa. Ukitoka kwenye kazi zako oga vzr pendeza

Wanaume wasafi wataendelea kuchukua wake zenu mpaka mkome mbona. Nawapenda wadada wote mnaonipenda Kwa usafi niliona ndio mana hapa kitaa natafuna pisi kali hatari
Dah...!!
Haya bana...Isije ikawa ni ule msemo wa Greatest Of All Time usemao "Manula katoka"
 
Mm naona Sawa tu kwani hata ww unapenda boyz wachafu? Hilo ni funzo kwa boyz wenye tabia kutokua wasafi binafsi hata mm sivutiwi na mdada mchafu.
Yaani nashangaa sana sijui ni Wapi sijaeleweka
 
Huu uzi ungeletwa na mwanamke ingekuwa bonge la Uzi, una point ila tu vile wewe Ni mwanaume
 
Back
Top Bottom