Jamani mwanaume Msafi anavutia asikwambie mtu

Sasa nimegundua siri ya kwa nini ulikuwa unawachukia sana walimu!! Madhara waliyokusababishia wakati ulipokuwa mwanafunzi ndiyo haya sasa!! Yameanza kuonekana hadharani.
 
Kwani kuna haja gani ya kutumia jinsia tofauti mitandaoni?
Au watu wana agenda zao za siri.
Yani mme atumie jinsia Ke.
Na Ke atumie jinsia Mme.
 
Duuuh ulivyoanza nikajua LGBT....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…