Jamani Mwili Wangu Unawasha balaa

Safi tu nilitumia SCABOMA na sabuni ya tetesmol nilipona kabisa Hadi sa hivi nipo fresh
Sorry hiyo scaboma ni nini, ile hali uliokuwa unapitia ndio napitia sasa msaada kidogo kuhusu iyo kitu thanks
 
ebu weka hiyo picha ya mb** inayowasha tuone tunakusaidiaje
 
Sorry hiyo scaboma ni nini, ile hali uliokuwa unapitia ndio napitia sasa msaada kidogo kuhusu iyo kitu thanks
NI LOTION YA KUPAKA UKIENDA DUKA LA DAWA UKIULIZIA UTAONYESHWA ,PIA NUNUA NA SOAP INAITWA TETMOSOL
 
Hiyo hali kila mtu anayo kipindi hiki cha joto sio ugonjwa huo jua limeongezeka
 
Kwa
Kwa ninachokijua mwili unawasha kwa sababu mbali mbali kama
1.Matatizo ya figo
2.Cancer ( baadhi ya kansa hupelekea mwili kuwasha sana)
3.Maambukizi ya ngozi
4.Allergy
5. HIV
kama unaswali uliza hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…