Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Anajiweka pembeni?. Haogopi kudanja?Thabiti kombo amekimbia na yeye maana kila njia ametumia lkn Hali bado ni ngumu wazungu wameapa kumsulubu samia.
Nchi zote za ulaya amemaliza bila mafanikio na sasa amejiweka pembeni
Who and what are you.Kuna kauli ilitokewa kwenye kikao Cha genge la wanaccm walioitwa wazee wa daresalama inayosema 'who are you ' sasa swali langu je kauli hiyo inafanya kazi? Hapa zingatia hatua ambazo US, Commonwealth na EU wameshaanza kuzichukua na matokeo ya hatua hizo.
Ni mzanzibar mwenzake hawezi kuuawa ingawa jitihada zote zimegoma na hata mama ameambiwa kuwa Ngoma ni ngumu Sana wazungu hawaelewi kituAnajiweka pembeni?. Haogopi kudanja?
Amekimbia kiaje mkuu.Thabiti kombo amekimbia na yeye maana kila njia ametumia lkn Hali bado ni ngumu wazungu wameapa kumsulubu samia.
Nchi zote za ulaya amemaliza bila mafanikio na sasa amejiweka pembeni
Oh!. Maybe!. So,amejiweka pembeni lakini asali bado analamba au sio?😀Ni mzanzibar mwenzake hawezi kuuawa ingawa jitihada zote zimegoma na hata mama ameambiwa kuwa Ngoma ni ngumu Sana wazungu hawaelewi kitu
Mimi naomba uniruhusu nitoe swali angalao kwa watu wawili tu hapa jukwaani huenda tukapata angalao kama sii jibu kamili japo kamwangamwanga kwani hao no elite wa chukua chako mapema wanao aminiwa sana.Bila shaka nimepata idhini yako.MIC Kwako Lucas Mwashamba na baada ya hapo atafuata ndugu Tlatlah!Kuna kauli ilitokewa kwenye kikao Cha genge la wanaccm walioitwa wazee wa daresalama inayosema 'who are you ' sasa swali langu je kauli hiyo inafanya kazi? Hapa zingatia hatua ambazo US, Commonwealth na EU wameshaanza kuzichukua na matokeo ya hatua hizo.
Sijasikia ikitenguliwqKuna kauli ilitokewa kwenye kikao Cha genge la wanaccm walioitwa wazee wa daresalama inayosema 'who are you ' sasa swali langu je kauli hiyo inafanya kazi? Hapa zingatia hatua ambazo US, Commonwealth na EU wameshaanza kuzichukua na matokeo ya hatua hizo.
Hawatomsulubu Samia bali Tanzania ambayo ndo mimi na wewe na vizazi vyetu.Thabiti kombo amekimbia na yeye maana kila njia ametumia lkn Hali bado ni ngumu wazungu wameapa kumsulubu samia.
Nchi zote za ulaya amemaliza bila mafanikio na sasa amejiweka pembeni
Kwa waaminio akisulubiwa shetani hata kama utaingia gharama ni kheri kuliko hamna!Hawatomsulubu Samia bali Tanzania ambayo ndo mimi na wewe na vizazi vyetu.
Subutuuuuu wameenda Ubelgiji kuwapigia magoti ili waachie pesa ya Maji (Grants) dadeeeekiKuna kauli ilitokewa kwenye kikao Cha genge la wanaccm walioitwa wazee wa daresalama inayosema 'who are you ' sasa swali langu je kauli hiyo inafanya kazi? Hapa zingatia hatua ambazo US, Commonwealth na EU wameshaanza kuzichukua na matokeo ya hatua hizo.
Pia soma: PostGE2025 - Balozi wa Umoja wa Ulaya ajibu kauli ya "Who Are You?": Tanzania imesaini mikataba ya kimataifa. Lazima tuzungumze
Ndiyo haijatenguliwa, majibu lakini si anapata kupitia jumbe zao. Ndio hoja iliyopoSijasikia ikitenguliwq
Amekimbia kiaje mkuu.
Si bado ni waziri yulee
[/QUO
Amekaa pembenii kwenye ishu ya kuwashawishi wazungu wafungue mirija kama kwenda ulaya amemaliza ulaya nzima bila mafanikio japokuwa bado ni waziri ila zile Safari za ulaya na USA zimekufa na hautamuona tena Huko nje