Nipeni likes niwape mautamu[/QUOTE
Ile michezo yako umeacha?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa bhana ndio nimezaliwa hivyo
Kuna watu mna mambo ya ajabu kichizi asa kama bando ndo linamuishia na anataka aweke lingine kama unamsaidia msaidie kama huwezi kaa kushoto
Bora mpeane tu maana maendeleo hayana chama especially kipindi hiki cha sikukuu.[emoji23][emoji23][emoji23]best usipende sana vitonga..umenigaya hata wishes tu hakuna[emoji36]bas ht zawadi ya xmas hakuna jamn[emoji58]..nipe mie nitakupa pathaka[emoji4][emoji4]
Ile michezo yako umeacha?
Au ndio umezaliwa hivyo?
Ujidhalilishe mara ngapHapana dada nimekwama yanii majii yamenifika shingoni me sipendi kijidhalilisha
πππππππ uwii nacheka mie hahahahaa nakweli best..coz ht ile airbus sio ya ccm tu ni ua wanacuf piaBora mpeane tu maana maendeleo hayana chama especially kipindi hiki cha sikukuu.
ππππππππππππππππ΅π΅π΅Ujidhalilishe mara ngap
Kama upo serious na ni ww kweli naweka no yako hapa raia wakurushie vocha,je upo tayari niitupie hapa?...
Meri krismas tu yu pia dada la madada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwii nacheka mie hahahahaa nakweli best..coz ht ile airbus sio ya ccm tu ni ua wanacuf pia
nimekumiss aise marry christmas kada maarufu la chama chq mazombie[emoji58]
Mane ni zambi kubwa sana kumcheka dada wa watu, ila kaa nae mbali maana huyu michezo yake ni ya hatari hatari asije akakuambukiza bureee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji444][emoji444][emoji444]
Hapana mkuu hawa watu kazi zao wengi hufanya hivyo usijaribu ππππHahahahaha fundi acha hizo bhana msaidie kijana[emoji23][emoji23][emoji23]
Mane ni zambi kubwa sana kumcheka dada wa watu, ila kaa nae mbali maana huyu michezo yake ni ya hatari hatari asije akakuambukiza bureee.
asanteee ss unaniachaje mkuuππ unajua fika kbsaaaa........hayana chamaπMeri krismas tu yu pia dada la madada
Inatemegeana ntu na ntu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]mie michezo hyo siwez na sitak..kila mtu abebe "zambi"yake..kwan ww ni mfuasi?ila wanaccm wengi...