Wiu
Member
- Jul 27, 2018
- 97
- 102
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipeni likes niwape mautamu[/QUOTE
Ile michezo yako umeacha?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa bhana ndio nimezaliwa hivyo
Kuna watu mna mambo ya ajabu kichizi asa kama bando ndo linamuishia na anataka aweke lingine kama unamsaidia msaidie kama huwezi kaa kushoto
Bora mpeane tu maana maendeleo hayana chama especially kipindi hiki cha sikukuu.[emoji23][emoji23][emoji23]best usipende sana vitonga..umenigaya hata wishes tu hakuna[emoji36]bas ht zawadi ya xmas hakuna jamn[emoji58]..nipe mie nitakupa pathaka[emoji4][emoji4]
Ile michezo yako umeacha?
Au ndio umezaliwa hivyo?
Ujidhalilishe mara ngapHapana dada nimekwama yanii majii yamenifika shingoni me sipendi kijidhalilisha
😂😂😂😂😂😂😂 uwii nacheka mie hahahahaa nakweli best..coz ht ile airbus sio ya ccm tu ni ua wanacuf piaBora mpeane tu maana maendeleo hayana chama especially kipindi hiki cha sikukuu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎵🎵🎵Ujidhalilishe mara ngap
Kama upo serious na ni ww kweli naweka no yako hapa raia wakurushie vocha,je upo tayari niitupie hapa?...
Meri krismas tu yu pia dada la madada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwii nacheka mie hahahahaa nakweli best..coz ht ile airbus sio ya ccm tu ni ua wanacuf pia
nimekumiss aise marry christmas kada maarufu la chama chq mazombie[emoji58]
Mane ni zambi kubwa sana kumcheka dada wa watu, ila kaa nae mbali maana huyu michezo yake ni ya hatari hatari asije akakuambukiza bureee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji444][emoji444][emoji444]
Hapana mkuu hawa watu kazi zao wengi hufanya hivyo usijaribu 🏃🏃🏃🏃Hahahahaha fundi acha hizo bhana msaidie kijana[emoji23][emoji23][emoji23]
Mane ni zambi kubwa sana kumcheka dada wa watu, ila kaa nae mbali maana huyu michezo yake ni ya hatari hatari asije akakuambukiza bureee.
asanteee ss unaniachaje mkuu😛😛 unajua fika kbsaaaa........hayana chama😂Meri krismas tu yu pia dada la madada
Inatemegeana ntu na ntu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]mie michezo hyo siwez na sitak..kila mtu abebe "zambi"yake..kwan ww ni mfuasi?ila wanaccm wengi...