Jamani natafuta Mume

Sipati picha jinsi unavyoamua kunisaliti mchana kweupe peee.

Hakiyanai mungu anakuona Coco.

Pokea tu last mchumo.

Mwaaaaaaaa mwaaaaaaaa mwaaaaaaaa
 
Wekeni namba zenu za simu humo kwa matumizi mengine ya ofisi, hhahahahahaahaahhahahah.
 
Wewe ndio bomu kabisa kaa chini ujicheke halafu ujipige vibao ulie kwa kuhuona unazo halafu umekula mwelekaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hahahaa Wasio nazo ndo watakuja,Unafikiri sijaielewa thread??
 
We hata bure sichukuwa just bcoz we ni gamba

Ha ha haaaaaaa
Kanichukulie basi na kadi yao niwe gamba kabisa.. maana mnapenda kunisukumizia huko na maoni yangu motomoto..
Mtu huwezi kupenda uongozi wa viongozi.. akiwemo Rais bila kuwa mwanachama mwenzao?
 
 
Acha aibu sema tuu watakuja UVCCM,Binafsi naogopa damu ya mwanangu isije ingia hiyo virus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…