Jamani natafuta Mume

pambana MUNGU Atakusaidia utapata MUME akukip BUSY.

Umeandika kwa utani lakini deep in you uko seriuz.

Ha ha haaaaaaa
Kabisa na PM yangu niifunge huku ningekuwa nimeiachia nilipoandika haya..

Sasa na wangu wa milele nikuachie wewe umtafutie mke mwingine au?
Eeeeeh najua usipo ninukuuu unakosaga raha.. ila udai wetu kama kawa humu.
 
Kwa jinsi ulivyoandika inaonyesha ni ile ya kuambiwa ebu panda araka araka nataka kulala mimi kesho nawahi kazini.

Muda wa uzi
Unaendana vipi na hayo uliyoandika..
Ila nimecheka sababu inamaanisha ndio maisha yako umefikiri nami napitoa hayo.. jibadili umpe raha wako huyo.. acha uvivu.. kula misosi mizuri na mazoezi usisahau.😀
 
Hiyo hapo 0772 03* 703

Ha ha haaaaaa
Nashukuru.kwa kunifikiria na wenzako pia walioweka namba tangu jana

Hili ni jukwaa la chit-chat,
Ila pia si nimesema nina mtu au!?😀
 
Pole coco..wanaume wa jf hawataki ma single mama

Mimi sio single mama.
Kwa uzi naburudika maana kila mara wananisema kama nina mume mara wanamuonea huruma.. maneno kibao kwenye posts.. nikaamua niburudike nao kihivi.
Shukurani kwa kunifikiria.
 
Ha ha haaaaaaa
Kabisa na PM yangu niifunge huku ningekuwa nimeiachia nilipoandika haya..

Sasa na wangu wa milele nikuachie wewe umtafutie mke mwingine au?
Eeeeeh najua usipo ninukuuu unakosaga raha.. ila udai wetu kama kawa humu.

kwa mawazo yako naweza kuwa adui na wewe?

kunausemi unasema ukibishana na MPUMBAVU na wewe utakuwa MPUMBAVU.

Mimi kuwa na uadui na wewe ni kujishushia hadhi.

NAKUTAKIA KILA L A HERI UPATE BWANA akuondoe upweke na stress zaku ZALISHWA bila kuolewa wakati wadogo zako wako ndani ya NDOA.

ila upunguze USWAHILI Utapata bwana atakae kuvumilia na watoto wako.
 
Wee jamaa ni domo zenge na mpenda mteremko, utaolewa sasa oooh....


Ooh jamani acha kutumia maneno hayo kwake. Sioni kisa cha wewe kumshushia maneno hayo humu chit-chat.
 
Sipati picha jinsi unavyoamua kunisaliti mchana kweupe peee.

Hakiyanai mungu anakuona Coco.

Pokea tu last mchumo.

Mwaaaaaaaa mwaaaaaaaa mwaaaaaaaa

Eeeeeeh labda unaongelea kukusaliti ukifikiri utakosa wa kupambana nae humu jukwaa letu bomba lile... nitajipa breki ya mudaaa mnimisi haswa haswa

Hiyo mwaaa mwaaa yako kaa nayo shaaaa😀
 
Acha kutudhalilisha wanaume kwa hiyo unataka watu waweke no zao hapa wakati umefunga pm
 
Eeeeeeh labda unaongelea kukusaliti ukifikiri utakosa wa kupambana nae humu jukwaa letu bomba lile... nitajipa breki ya mudaaa mnimisi haswa haswa

Hiyo mwaaa mwaaa yako kaa nayo shaaaa😀
Ona sasa hadi busu unakataa

Ngoja niache moyo wangu usukume tu damu!
 
Ndio mbinu mpya ya kujitangaza mtandaoni sio!?
Kweli dunia lukumbalukumba!!!!!

Ungetulia kutumia.akiliungejua posts zingine sio juu ya hayo unafikiria.. kuna vipima joto vingi sana mtu ukitaka kujijua upoje ndani ya jukwaa kama hili.

Tabu yenu watanzania wengi mnafikiria ndani ya tundu la sindano basi mwisho.. hamfikirii mengi kama burudani, malengo, mtu kutaka kujua upoje pahala

Sina haja ya kuandika ukaelewa.. kama unayajua utanipata
 
Acha aibu sema tuu watakuja UVCCM,Binafsi naogopa damu ya mwanangu isije ingia hiyo virus

Duh.. ungesoma ungejua hata sitafuti mume
Virus tena.. chuki lazima ni ya kuslmeshwa namba na kubaniwa.. mazoea uliyozoea kabla au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…