Jamani natafuta Mume

Jamani natafuta Mume

Huyu ni robot sio binadamu kama mtu anabisha afuatilie comments
 
We unazingua tu afu hauko serious
 
Kwa ujasir ulionao ndg yng Cocochanel sikutegemea hata sku moja kuwa ungekuja kuyanyenyekea mapenzi,mm mwenyewe natafuta mwanamke kwaajili ya kuanzisha nae maisha mapya,lakn kujiamini kwako Coco' huwa kunanipa mashaka sana!
Pia,nafikiria kuwa huenda umekuja kwaajili ya kuwatafuta wa2 ambao hawa-support movement za jembe na nyundo.Kama kweli upo serious naomba usome uzi wangu unasomeka hivi "Natafuta mke mwema" na kama utaridhika na vgezo nilivyoviainisha basi njoo pm,ila nahtaji mwanamke ambaye ameshamaliza kusoma...,siyo baada ya mwezi mmoja ataka kwenda masomoni!
Karibu sana Coco' if your serious and commited enough
Thank you!

Niambie kwanza mashaka gani maana natamani kujua.
 
Anatafutwa mtu hapo...!Intelijensia yako uliyotumia ni ndogo sana...!Ilaa watakuja tu
 
Sawa ,,nmekuelewa ,,Ujue Mungu hamtupi mja wake .... Binadam wote tu Mali yake lkn Bimadamu wale wanaomtegemea zaidi ndo hufaidika naye zaidi.

Hiiii inamaana unaweza kua nawatoto watatu lkn mmoja tuu ndo ukampenda sana .lkn pia inatuonyesha kua ,, Mbali nawote kua wanaume Unapaswa uanze na upande uliopo wewe.....embu tupe kwanza nafasi sisi makada wenzako ..ukikosa ndo uende uko !!
Naamin hiii itakuondolea kero namigogoro isokua natija toka kwahao jamaa!!!.

Asikuambie mtu bana ,,oana namtu ambaye mnafanana had kiitikadi ,,utafurahia sana...Leo mnaamua mvae wote sare za chama[emoji8][emoji8][emoji8].

Here is my number let talk !!!.

011-7-812-653-03-12...
 
Mi wanawake wenye mdomo kama chuchunge siwapendi.
Habari tupo kitandani unaanza kunihadithia story za magufuli. Mi nataka huo ujinga
 
Mahaari unalipa kwa baba harafu ndio mimi na wewe tunaonana
 
Iko'ivi chanel, mtu kupost picha feki ujue hayupo serious ama yupo kibiashara.
Hii inakuwa kama hadithi za kujaladia misponji, inakera kuja kutambua ukweli umelishwa tango pori baada ya kumvua mtu!
Tokelezea ulivyo, ili mtu atathimini mwenyewe majaaliwa ya M/Mungu kiroho safi bila kufekisha chochote.
Wewe mmoja umetangaza nia, lakini pm zaweza kufurika. Nawe sasa utawathamanisha hao wagombea binafsi kisha upige kura yako ya ndiyo kwa kuringa.
Ujue hakuna mtu mwenye sura mbaya duniani, kila sura lazima kuna mtu anaisorolea.
Sasa unapigia "dunia" ya gizani, halafu siku ya kukutana inakuwa lawama. Kadhia yote hiyo ya nini?
Kwani umesahau enzi za pen pal ilikuwaje? Ambapo watu walikuwa wanapata wenza kwa mapichapicha kama nilivyoeleza hapo juu.

Oooh haya wee
PM ipo likizo hivyo hakuna anayeweza kuniandikia lolote kwasasa.

Penpal naikumbuka ila kwa mimi ilikuwa urafiki tu sikufikiria lingine then.
 
Back
Top Bottom