Jamani...Nauliza tu

Ah ok.....Ila utakuta sometimes mwenye nyumba ndogo jamaa akibembelezwa anabembelezeka but akija nyumbani habembelezeki. Anaanza kukunja ndita tangu kwenye kona. Mna vituko nyie!!!

Sasa kwani mtu abembeleze kitu kiko fixed tu hapo home? Siku zote watu wanahangaika na vitu adimu. Ndo maana kwa wachumi law of supply and demand ni muhimu sana. Kule smala house lazima mtu abembeleze kwa sababu hana uhakika wa maisha yake kwa 100% kama ilivyo kwa big house. Pia wanaume wanapenda sana ku-impress wageni zaidi ya wenyeji...hujui hilo?
 
Mkuu umesoma post zake kweli? Mimi nimeona kama ziko wazi au ni tatizo langu?
nimedandia treni kwa mbele, si unajua samaki wa villa park hawaliwi bila red label??

Kale kamda kangu ka kupata ban kamekaribi, chupa ikfika nusu tu, balaa
 
Mi huwa najishangalia tu. basi mimi nilidhani ni huyu wangu tu................. mpaka nilikuwa nawaza kupunguza manjonjo labda atakuwa hatamani tena............. lol!

Mh, sis'... sasa wanatafutia ban mwenzio,

huyo ntu anafaidi kweli aisee
 
nimedandia treni kwa mbele, si unajua samaki wa villa park hawaliwi bila red label??

Kale kamda kangu ka kupata ban kamekaribi, chupa ikfika nusu tu, balaa

Usijali bro,

Tuko pamoja. JF ni home kwetu sote.. Life without JF is unimaginable..
 
Mh, sis'... sasa wanatafutia ban mwenzio,

huyo ntu anafaidi kweli aisee

sasa Ban ya nini mkuu? we cheza kwa step za kueleweka bwana, haina haja ya kumkanyaga mtu...................
na wewe tafuta wa kukufaidisha, ila sijui kama bado wapo huko mitaani au vipi. sisi wa zamani si unajua? kitchen party za chumbani........... siyo bar kama siku hizi
 
heheeeheheheeee... sasa mbona siri za ndani unaleta?? huwa hatusemi ya ndani, ni ya infii tu!!! haya wa zamani, utajiju!!!

sasa unanisingizia mkuu.............. wapi nimetoa siri za chumbani? najua mipaka yangu
 
hahaahahahaaaa... niko mwaka wa nane sasa kwenye ndoa... mashallah mazee!!! Nina vitoto kama timu ya voliboli, jinsi tulivyoendekeza hiyo ndito
 
hahaahahahaaaa... niko mwaka wa nane sasa kwenye ndoa... mashallah mazee!!! Nina vitoto kama timu ya voliboli, jinsi tulivyoendekeza hiyo ndito

Hongera kwa kudumu miaka hiyo. nimekuzidi lakini. kuendekeza hiyo ndito siyo kuwa na vitoto vingi............. nimekuambia ucheze kwa step.. kumbe rough kila mahali?
endelezeni tu hiyo ndito lakini taratibu rafiki msije mkatimiza timu ya futiboli sasa
 
Hahahahaha..........sina la kujitetea hapa.

The Finest naye mchakachuaji tu Roya... wewe tu peke yako u msafi karibu kiti hapa IPC

Heheh hao wote wasanii...
Umesahau yale masharti yake kama akiamua kuhamia IPC...?!
The Finest thou anaonesha ana moyo sometimes sema mwenyekiti anambana sana...
 
Unalala na mtu chumba kimoja tena na kitanda kimoja miezi mitatu haujapewa biolojia

Kama ni mjamzito its understandable...
3 months before delivery its forbidden to perform 'that' part of biology...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…